balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,836
- 15,668
Hoja ya msingi kabisa hii naomba mods waiweke iwe comment namba Moja kabla watu hawajaja kukurupuka na kumuunga mkono huyu mpuuzi mpwa guzi villageUchumi ukiyumba na bank zenye capital adequacy ndogo chini ya set za BOT lazima zianguke. .
mpwayungu village ana matatizo ya akili ila yeye hajui tuH
Hoja ya msingi kabisa hii naomba mods waiweke iwe comment namba Moja kabla watu hawajaja kukurupuka na kumuunga mkono huyu mpuuzi mpwa guzi village
Bank ya walimu kwa kichwa chako inaendeshwa na walimu au BANKERS?Kwani walimu wanajikuta wameharibu kila mahali? Kupigwa hovyo n kuuwa wao,kutapeliwa wao,kuliwa wao,kulalamika wao,kuchapwa viboko wao.Sasa utoto wao,Kuna mmoja kaua Arusha huko,majungu wao,kuiba kura wao. Benki yao wameshindwa.Mpwayungu kakosea wapi?
Bankers ni employees na wamiliki ni walimu.Unajua kwanini mafanikio ya Microsoft alipewa Bil Gates au mafanikio ya Metl kupewa Dewj?Bank ya walimu kwa kichwa chako inaendeshwa na walimu au BANKERS??
One mistake does not justify another mistake.Kila siku naona hizi mada kuwashambulia walimu imekua kama sifa na ufahari.
Kama ni nia ya kujenga siyo tatizo lakini mlengo wake unaonekana ni kuwatweza utu wao hii si sawa.
Uongozi wa jamiiforums mnaofanya moderation hii ni too much sasa, mada kama hizi zinaua haya majukwaa kuonekana ni ya hovyo tu. JamiiForums.
Tanzania ni shirika gani au taasisi ya uma inayofanya vizuri?
Huko hao wote wanaofanya kazi ni walimu? Kwanini kila siku kuwashambulia walimu? Kutumia lugha kali zisizo staha na matusi mkitafutwa unaeza kutolea maelezo usifikiri huezi kupatikana.
Kuweni makini.
Walimu si lazima wawe wa primary na ukimwajiri mtu humfanyii evaluation kujua performance na efficiency yake mpaka firm inakufa?Hiyo bank ilikuwa inaendeshwa na waalim? Acha dharau mwamba.
Waliajiri mabenka na sio kwamba walitoa waalimu praimari huko kuja kuwa makeshia wa benki
Noma sana!Kwani walimu wanajikuta wameharibu kila mahali? Kupiga hovyo na kuuwa wao,kutapeliwa wao,kuuliwa wao,kulalamika wao,kuchapwa viboko wao.S utoro wao,Kuna mmoja kaua Arusha huko,majungu wao,kuiba kura wao. Benki yao wameshindwa.Mpwayungu kakosea wapi?
Noma sana!Uwezo wa bank unapimwa kwa CAMEL rating
C- Capital Adequacy
A - Asset Quality
M - Management Efficency
E -Earnings Quality
L- Liquidity
Ikifeli kwenye rating basi bank itaenda kufa tu. .
Jamii forums haina mwelekeo siku hizi mada za kijinga jinga ndizo zineshamiri.Kila siku naona hizi mada kuwashambulia walimu imekua kama sifa na ufahari.
Kama ni nia ya kujenga siyo tatizo lakini mlengo wake unaonekana ni kuwatweza utu wao hii si sawa.
Uongozi wa jamiiforums mnaofanya moderation hii ni too much sasa, mada kama hizi zinaua haya majukwaa kuonekana ni ya hovyo tu. JamiiForums.
Tanzania ni shirika gani au taasisi ya uma inayofanya vizuri?
Huko hao wote wanaofanya kazi ni walimu? Kwanini kila siku kuwashambulia walimu? Kutumia lugha kali zisizo staha na matusi mkitafutwa unaeza kutolea maelezo usifikiri huezi kupatikana.
Kuweni makini.
Unajua unachokizungumza kweli ndugu yangu?Bankers ni employees na wamiliki ni walimu.Unajua kwanini mafanikio ya Microsoft alipewa Bil Gates au mafanikio ya Metl kupewa Dewj?