Uchaguzi 2020 Mpwapwa tumekuchoka Mbunge wetu Lubeleje

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,925
95,203
Sisi wapiga kura wako tumechoshwa na kuwa na Mbunge bubu bungeni. Tulikuchagua ukawasilishe mahitaji yetu bungeni na siyo kwenda kugonga meza.

Mpwapwa miundo mbinu ya barabara ni mibovu na shida ya maji ipo palepale na wewe unaendelea kugonga meza tu.

Jiandae kabisa maana uchaguzi wa mwaka huu hapati kura zetu maana tumekuchoka.

In God we Trust
 
Shida ya Mpwapwa ni BARAZA LA MADIWANI,LUBELEJE ni moja wa mjumbe wa baraza la madiwani, wenye halmashauri sio wabunge tu ni pamoja na madiwani, madiwa ndio mabosi wa mkurugenzi ndio chombo kinachofanya maamuzi ya hatma ya maendeleo ya jimbo husika,

sijawai kuona madiwai viraza kama madiwani wa mpwapwa, hakika ndo wanao nifanya niichukie CCM , Mwenyekiti wa halmashauri ni darasa la pili na makamu wake darasa la nne, wagogo mnakwama wapi?
 
Kina Kibajaj ndiyo wanazidi kuzaliwa
Shida ya Mpwapwa ni BARAZA LA MADIWANI,LUBELEJE ni moja wa mjumbe wa baraza la madiwani, wenye halmashauri sio wabunge tu ni pamoja na madiwani, madiwa ndio mabosi wa mkurugenzi ndio chombo kinachofanya mahamuzi ya hatma ya maendeleo ya jimbo husika,
sijawai kuona madiwai viraza kama madiwani wa mpwapwa, hakika ndo wanao nifanya niichukie CCM , Mwenyekiti wa halmashauri ni darasa la pili na makamu wake darasa la nne, wagogo mnakwama wapi?

In God we Trust
 
Na aina ya watu kama hawa wana fitina sana kipindi cha mchakato wa uchaguzi wa ndani na kujivunia uchawi
huyo mzee ni mlevi wa madaraka....anaishikilia mpwawa toka enzi zile kongwa bado ipo ndani ya mpwapwa.

In God we Trust
 
Kwa sasa tumechoshwa na huyu babu, hana tofauti na alivyokuwa Wasira
wengi wa vijana wa mpwapwa hawana muda wa kujihusisha na sisa,,bado awafahamu kua siasa ndo maendeleo,

In God we Trust
 
Shida ya Mpwapwa ni BARAZA LA MADIWANI,LUBELEJE ni moja wa mjumbe wa baraza la madiwani, wenye halmashauri sio wabunge tu ni pamoja na madiwani, madiwa ndio mabosi wa mkurugenzi ndio chombo kinachofanya mahamuzi ya hatma ya maendeleo ya jimbo husika,
sijawai kuona madiwai viraza kama madiwani wa mpwapwa, hakika ndo wanao nifanya niichukie CCM , Mwenyekiti wa halmashauri ni darasa la pili na makamu wake darasa la nne, wagogo mnakwama wapi?
kwani peter mkanwa bado mwenyekiti wa halmashauri hadi leo?
 
Back
Top Bottom