Mpoto kugombea ubunge

Independent candidate mjomba!!!!
hiyo ni ngumu kwake, sidhani kama ataweza kuweka wakala kwenye kila kituo cha kupigia/kuhesabia kura. L abda apate watu wengi wajitolee bure bure.
 
Una maanisha Sugu kwako ni gunia la misumari
 
atanyoa hizo dread rock zake? au bungeni zinaruhusiwa in case atachaguliwa kuwa mbunge?
 
@TUNTEMENKE mkuu wewe utagombea wapi na kwa chama gani?
 
Wakuu..
Mjomba katangaza nia yakuingia kwenye siasa 2015..
Na keshaanza kupokea vitisho mbalimbali baada ya yeye kuonyesha nia!
Mjomba kuwa makini sana..
Siasa ni game..
A very dirty game...
Kumbuka hata Kanumba (r.i.p) aliwahi kuwa na mawazo kama yako..
Umefanya vyema kutokutaja mapema jimbo utakalo gombea wala chama utakachopitia..
Usisahau kuwa makini mjomba.
Angalia maisha yako na mipango yako iweke vyema...
 
Lakini kwa nini kila mtu akiwa maarufu anakimbilia kwenye siasa? Kuna nini huko hebu wadau nisaidieni..
Mr.2,Rwakatale{mchungaji},Dokii, ...........
 
Lakini kwa nini kila mtu akiwa maarufu anakimbilia kwenye siasa? Kuna nini huko hebu wadau nisaidieni..
Mr.2,Rwakatale{mchungaji},Dokii, ...........

usisahau Kanumba naye kabla ya umauti aliwahi kuwazia siasa pia
 
Tanzania tunayo sheria kuwa huwezi gombea bila kupitia chama cha siasa. Sasa kama anashindwa kutaja yuko chama gani, either ni mwongo au mtu mwoga asiye na msimamo anayepima upepo kwanza. Hatuhitaji watu wa aina hiyo.
 
hata wema eti alitaka akagombee.....
 
Tanzania tunayo sheria kuwa huwezi gombea bila kupitia chama cha siasa. Sasa kama anashindwa kutaja yuko chama gani, either ni mwongo au mtu mwoga asiye na msimamo anayepima upepo kwanza. Hatuhitaji watu wa aina hiyo.

Daah! kwa siasa za hapa kwetu..ni hatari haswa kwa mtu kama yeye kutaja jimbo au chama mapema..
akitaja atajiongezea maadui lukuki...
 
Daah! kwa siasa za hapa kwetu..ni hatari haswa kwa mtu kama yeye kutaja jimbo au chama mapema..
akitaja atajiongezea maadui lukuki...
What a stupid conclusion. Hicho chama usichotaka ujulikane kuwa ni mwanachama wake kitakupitishaje kuwa mgombea wake? Yeye ni nani and what do you think is so special in him?
 
Angalia ccm chama cha wang'oa meno wasikufanye kama walivyofanya kwa ulimboka
 
Baba kaja na swalii,mama kanipa jibu ili niulizwe sawli oooh swaliiii...asanteni kwa kuja....asanteni kwa kuja...Labda ni project ya muda mrefu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…