Mpoto kugombea ubunge

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,175
Reaction score
11,572
Msanii wa muziki Mrisho Mpoto (Mjomba) amesema mwaka 2015 amesema atagombea ubunge bila kutaja CHAMA WALA JIMBO ATAKALO GOMBEA ameyasema hayo kwenye kipindi cha tuongee cha star tv leo.

 
Bila kutaja chama wala jimbo namuona ni mbabaishaji , labda ndo nauli aliyokuwa anaisema hiyo
 
Msanii wa musiki wa kiasili mrisho (Mjomba) amesema mwaka 2015 amesema atagombea ubunge bila kutaja CHAMA WALA JIMBO ATAKALO GOMBEA ameyasema hayo kwenye kipindi cha tuongee cha star tv leo.
Haya bana... Kila la kheri
 
Nia yake ni njema, lakini nimuonavyo! hakawii kuwa wa hisani ya watu wa Marekani. kwa wale tu waliouelewa utenzi wake wa mjomba mjomba ndio wataelewa nimesema nini.
 
Karibu kwenye sihasa za bongo! Pengine utaleta changamoto huko utakapogombea, nakupa bg up kwa kutangaza nia, kuwa makini ni muda wa vyama visivyo na ishu kukutaka.
 
Kama anataka kugombea upinzania atakuwa kamanda dhaifu
 
Mtarajiwa huyo Ruvuma huko!!!!!!!!!! sio kwa kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI chama anajua mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtarajiwa huyo ruvuma huko!!!!!!!!!!
Teh teh teh!Kweli Ruvuma imeingiliwa,jana nilikuwa nasoma gazeti la Tanzania Daima Joketi naye anasema atagombea ubunge huko Ruvuma!
 
Sina imani na Mrisho Mpoto,..........ananunulika kirahisi kwa vipande vya pesa kama Yuda eskariot.
 
Siasa zimekuwa nyepesi sana kila mtu anataka ubunge hata Mwita Maranya, Mohamedi Mtoi, hawa nao wanataka ubunge.

CC. chama,

We jamaa siku hizi umekosa kabisa mawazo huru, kila kitu CC chama; au ndio anayehesabu umetupiamo sredi ngapi kwa ajili ya malipo pale Lumumba.

Kama Jangiri ameweza kuwa katibu mkuu wa Chama sidhani kama kuna mtu anaogopa kuwa mwanasiasa nowadays, ila tu wajiangalie wasijekuangukia pua kama alivyoangukia pua Nape Nnauye pale Ubungo tena mapema asubuuuhi kabisa
 
Mpoto ni njaa tu ndio inamsumbua kwanza sio mtu makini pia ni msaliti yaani hana tofauti na mtu mmoja anaejiita Ritz humu JF
 
Ni haki yake kugombea ubunge kwa mujibu wa KATIBA iliyopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…