Mponda agoma kujiuzulu

2na rais janga la
taifa, amekuwa
akiteua wa2 wa ajabu
unamteua m2 kama
mponda kuwa waziri
wa afya!
 
Kwa wale wasiofahamu. Huyu Mponda siyo medical doctor.

Tumeshawahi kuwa na Medical Doctors pale kama kina Chiduo na Sarungi, mambo hayakubadilika; Tumewahi kuwa na wanasiasa pale kama Zhakia Meghji na wengineo, mambo hayakubadilika; matumaini yangu yalibakia kwa mtu mwenye uwezo wa public health management ambae kwa bahati nzuri au mbaya akaja kuwa Mponda; Napo mambo hayajabadilika. Tatizo ni nini? Tatizo ni mfumo wa wizara. Kumwondoa Katibu Mkuu na Mganga Mkuu ni mwanzo mzuri lakini muhimu zaidi ni kuiparangua wizara yote na kuifuma upya kivitengo, ki-dira, na pia allocation ya bajeti; Chini ya mfumo wa sasa, wanaoamua mahitaji ya afya ni nini, fedha kiasi gani zinahitajika, na fedha zitume vipi ni watu wa juu, sio wa huko chini kwenye hospitali za mikoa na wilaya ambako ndiko kuna mahitaji mengi zaidi ya afya, bali maamuzi hufanya huko huko juu wizarani, na ni huko wizarani na kwenye taasisi kama za rufaa na speciality hospitals ndiko 75% ya bajeti yote huishia huko na only 25% ndio inapelekwa hospitali za mikoa na wilaya na dispensaries combined; Bila ya kubadili haya, kumtoa Mponda na Naibu wake haitasaidia lolote;
 
Duuuuuuuuuu
Tanzania na kuwajibika na vitu vinkinzana sana
Kweli mpaka sasa hajaona sababu ya kuwajibika?
 

Hiyo kwenye red ni kweli?
Mimi naona hili baraza la mawaziri la kipindi hiki ni janga la kitaifa. Wamemponza mpaka Rais wa nchi.
 
Sisi wajuvi tunajua kuwa hatuna Waziri wa Afya.......there is only an impostor put in by an impostor of a president
 

Wewe acha uongo bwana.Dr .Mponda alikuwa mfanyakazi wa IHI-Ifakara Health Institute na siyo fundi mchudo cv yake hapo chini

SalutationHonourableMember picture
First Name: Dr. Hadji
Middle Name: Hussein
Last Name:Mponda
Member Type:Constituency Member
Constituent: Ulanga Magharibi
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 9083, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 783 003 635
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Manda Chini Primary SchoolPrimary Education19671970PRIMARY
Nawenge Primary SchoolPrimary Education19711973PRIMARY
Minaki Secondary SchoolO-Level Education19741977SECONDARY
Tosamaganga Secondary SchoolA - Level Education19781980HIGH SCHOOL
Mzumbe UniversityBusiness Management19841987ADV DIPLOMA
London UniveristyPublic Health20032004MASTERS DEGREE
Mzumbe UniversityMaterial Management-GRADUATE
London UniveristyPublic Health20072010PHD
CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Ulanga West Constituency20102015
Ministry of Health and Social WelfareMinister2010Todate
Ifakata Health InstituteResearch Scientist19962010
National Development CorporationCommercial Manager19891996
National Development CorporationCommercial Officer19831989
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMYouth Commander2009
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember of Political Committee2005
PUBLICATIONS
Description Published Date
Social Science and Medicine2003
BMC Public Health2009
SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
RECOGNITIONS
Recognition Type Recognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list
 
umepoteza credibility kwa kusema uongo. Angalieni kwenye profile lake kama unachosema ni ukweli. Dr. Mponda ni mtu wa medics.
 
Kueneza uongo ndiko kunanifanya niwe na wasiwasi wa wahangiaji juu ya chuki binafsi,
Ni upi ufisadi wa Mponda katika wizara, Anatuhumiwa na nini? Acheni chuki jamaa ni proffessional na ana exposure nzuri sana kwenye Public heath. Kufanya kazi kwake kwenye taasisi ya kimataifa ya Afya kama ifaka kwa miaka zaidi ya 14 ni exposure ya kuaminika.

Acheni chuki na taarifa zenu za uongo
 

Kaka nakuunga sana mkono, ila kuna kitu umekisahau. MOU pia ni tatizo, kwa hiyo ata aje nani hiyo ni ndoa kati ya serikali na makanisa na ina ugumu sana kuipractise. solution ni kuivinja kwanza,
 
mamlaka yake ya uteuzi imeachiwa jukumu la kumuwajibisha; lets wait and see what happens... angekuwa anakaribia kustaafu ingekuwa simple tu, unampa likizo wakati unamwandalia mafao yake as ussual!
 

kazi tamu ikiwa bado unaitaka :A S 465:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…