Mpoki anamaneno sana...kuna siku alikuwa redioni akihojiwa mtu akatuma sms akisema eti "mpoki unaongea sana punguza maneno" yeye akajibu "ningekuwa bubu unganijua???" hahahahahahah
Una mawazo ya kibwege sana we mrembo.
Sasa kwa nini demu wangu asikupende wakati we ni mwenzie tuu. Hamna mnachotofautiana as long as majukumu yake yote huwa unayaperform vizuri tuu hasa yale ya kindoa.
Aaah baby H!! Does this make any sense to u?!
Hapo ni kichwa kimoja tu! Majuu comedian wengi mpaka waandikiwe points za kumwaga jukwaani (scripts),shule za sanaa ya maigizo n.k. Si mliona script writers walipogoma? Nampongeza Mpoki!