Mpogolo Naibu Katibu Mkuu CCM Bara

Mpogolo Naibu Katibu Mkuu CCM Bara

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
1,432
Reaction score
992
Halmashauri Kuu ya CCM Yamteua Rodrick Mpogolo kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM upande wa Bara.

Halmashauri Kuu ya CCM imemteua aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato na baadaye mshauri wa Rais masuala ya siasa, Bwana Rodrick Mpogolo kuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, akichukua nafasi ya Rajab Luhwavi aliyeteuliwa kuwa Balozi.
 
Nazipenda sana teuzi za Magufuli:akiwachagua mawaziri,akimchagua Waziri,akiwachagua wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,akimchagua nani,usually nawafahamu kwa mara ya kwanza baada ya wa wao kuchaguliwa.
Sasa itabidi nitafute kujua Humphrey Polepole ni nani.
[Sina TV in case utauliza kwanini siwafahamu]
 
Ni mkuu wa wilaya ya CHATO!!! Kha! Watu wagumu kuelewa hawa!!
Alikuwa DC wa Chato enzi za kikwete lakini aliacha cheo hicho na kuchukuliwa na Magufuli mara tu baada ya Magufuli kuchaguliwa kama mgombea wa ccm.
 
haya ma thread ya ccm kuteuana yangeunganishwa kwenye uzi mmoja,,yamekuwa mauchafu sasa.
 
Nazipenda sana teuzi za Magufuli:akiwachagua mawaziri,akimchagua Waziri,akiwachagua wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,akimchagua nani,usually nawafahamu kwa mara ya kwanza baada ya wa wao kuchaguliwa.
Sasa itabidi nitafute kujua Humphrey Polepole ni nani.
[Sina TV in case utauliza kwa nini siwafahamu]

Inahitaji mtu kufikiria zaidi ili aelewe ulichoandika....vinginevyo ataishia kudhani kweli ""HUWAFAMU""
 
Inahitaji mtu kufikiria zaidi ili aelewe ulichoandika....vinginevyo ataishia kudhani kweli ""HUWAFAMU""
Kweli siwafahamu. Na kama siwafahamu,Watanzania pia hawawafahamu hawa watu.
Mkuu wa TRA akichaguliwa,wewe utamfahamu vipi? Unless wewe ni mhasibu or something.
Mimi nilikuwa Butiama miaka miwili na nusu. During that time Polepole was making a name for himself in Dar.
 
Back
Top Bottom