respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,843
Karata za 2020 zinaanza kuchangwa..!!
BACK TANGANYIKA
BACK TANGANYIKA
Kweli siwafahamu. Na kama siwafahamu,Watanzania pia hawawafahamu hawa watu.
Mkuu wa TRA akichaguliwa,wewe utamfahamu vipi? Unless wewe ni mhasibu or something.
Mimi nilikuwa Butiama miaka miwili na nusu. During that time Polepole was making a name for himself in Dar.
Lake Zone oyeeee
Hujalazimishwa kupita mkuu,usipoangalia kwa tabia hizo za kuchukia vitu visivyoepukika utapata stroke.Humu kuna thread na viji hashtag vya Benny zaidi 1000,sasa mtu achukie akiviona si anaitafuta tu muhimbilihaya ma thread ya ccm kuteuana yangeunganishwa kwenye uzi mmoja,,yamekuwa mauchafu sasa.
Hujalazimishwa kupita mkuu,usipoangalia kwa tabia hizo za kuchukia vitu visivyoepukika utapata stroke.Humu kuna thread na viji hashtag vya Benny zaidi 1000,sasa mtu achukie akiviona si anaitafuta tu muhimbilihaya ma thread ya ccm kuteuana yangeunganishwa kwenye uzi mmoja,,yamekuwa mauchafu sasa.
hata kwa Mwangosi ulianza kuuliza hivyo hivyo lakini picha zikawaumbuaMbowe please tuambie Ben yuko wapi
Kutokana na statemement yako ya mwisho hapo kuhusu Polepole kusema yaliyo moyoni, nimefikia hatamu ya kukubaliana na mwana JF mmoja humu aliposema kuwa Polepole ni Vuta Nkuvute, Mzee Tupatupa. Tizama neno Polepole na Tupatupa yalivyokuwa yana uwiano wa kujirejea maneno, hata Vuta Nkuvute pia halijapishana mbali!Mkuu Andrew heshima kwako na Shikamoo tena.
Mhe Rais hajakosea na amelenga pahala pake.
Humphrey Polepole namfahamu vizuri sana, Humphrey Polepole ni mtu wa watu wa chini, inawezekana kwa sababu hiyo ndio maana humfahamu kwa kweli sio rahisi kumjua ila Mzee Butiku anamfahamu ingawa naamini kamjua miaka isiyozidi saba, mimi namjua tangu miaka 20 iliyopita.
Inshort Humphrey Polepole ataendelea kupaa tu kwa sababu hakuna anachoprittend zaidi kusema fact toka moyoni and actually ndio maisha anayoyajua Humphrey.
Kila la kheri Humphrey
mkuu kuwa muangalifu utakula ban,watu humu hawatajani majina wazi waziKutokana na statemement yako ya mwisho hapo kuhusu Polepole kusema yaliyo moyoni, nimefikia hatamu ya kukubaliana na mwana JF mmoja humu aliposema kuwa Polepole ni Vuta Nkuvute, Mzee Tupatupa. Tizama neno Polepole na Tupatupa yalivyokuwa yana uwiano wa kujirejea maneno, hata Vuta Nkuvute pia halijapishana mbali!
Humphrey polepole itikadi na uenezi ccm oyeNazipenda sana teuzi za Magufuli:akiwachagua mawaziri,akimchagua Waziri,akiwachagua wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,akimchagua nani,usually nawafahamu kwa mara ya kwanza baada ya wa wao kuchaguliwa.
Sasa itabidi nitafute kujua Humphrey Polepole ni nani.
[Sina TV in case utauliza kwanini siwafahamu]
Hiyo ndio cv yake?, au wewe ndiye mgumu wa kuelewa?Ni mkuu wa wilaya ya CHATO!!! Kha! Watu wagumu kuelewa hawa!!
LIZABON ATOKEE KAMA SHIGONGO ADAI WAMEMDHULUMUKa Lizaboni kamesusa!!
LIZABON ATOKEE KAMA SHIGONGO ADAI WAMEMDHULUMUKa Lizaboni kamesusa!!
mkuu kuwa muangalifu utakula ban,watu humu hawatajani majina wazi wazi[/QUOTE
Kuna member humu alikwishamtaja, mimi natilia mkazo tu! Ahsante by the way kwa ukumbusho. Na hongera kwake kama ni kweli!