Mpogolo aivunja ngome ya Lowassa jimbo la Monduli

Joined
Aug 29, 2015
Messages
65
Likes
95
Points
25

MASIGA

Member
Joined Aug 29, 2015
65 95 25
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Ndugu Rodrick Lazaro Mpogolo ameibomoa ngome ya mzee Lowassa katika mkutano mkubwa wa ndani uliohudhuriwa na wajumbe 1863 katika kata ya Migungani wilaya ya Monduli.

Amewataka kuhakikisha wanampa kura nyingi za ushindi wa heshima mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Ndugu Julius Kalanga kuwa mbunge wa Monduli siku ya Jumapili tarehe 16/09/2018.
img_20180912_180848-jpg.864238
img_20180912_180842-jpg.864239
img_20180912_180831-jpg.864240
img_20180912_180827-jpg.864241
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
50,845
Likes
36,793
Points
280

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
50,845 36,793 280
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Ndugu Rodrick Lazaro Mpogolo ameibomoa ngome ya mzee Lowassa katika mkutano mkubwa wa ndani uliohudhuriwa na wajumbe 1863 katika kata ya Migungani wilaya ya Monduli.

Amewataka kuhakikisha wanampa kura nyingi za ushindi wa heshima mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Ndugu Julius Kalanga kuwa mbunge wa Monduli siku ya Jumapili tarehe 16/09/2018. View attachment 864238 View attachment 864239 View attachment 864240 View attachment 864241
safi sana mkuu
chama-mfu-kikitengeneza-mkutano-monduli-jpg.864300

next time tumieni usafiri wa mabasi mtakuja kuua watu bure !
chama-mfu-kikitengeneza-mkutano-monduli-jpg.864300
 
Joined
May 17, 2018
Messages
192
Likes
104
Points
60

Mohamed Bwembwera

Senior Member
Joined May 17, 2018
192 104 60
safi sana mkuu
View attachment 864300

next time tumieni usafiri wa mabasi mtakuja kuua watu bure ! View attachment 864300
Hii ni picha ya mwaka 2009, ni ya zamani, hilo Lori la mwanao jeupe, ni gari la msomali wa maguguni na lilipinduka na kuteketea mwaka 2011, Dereva kijana wa arusha aliugua vibaya NA hivi sasa hawezi tena kuendesha gari.

Tuwe wakweli
 
Lutandagula

Senior Member
Joined
Apr 8, 2018
Messages
105
Likes
78
Points
45

Lutandagula

Senior Member
Joined Apr 8, 2018
105 78 45
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Ndugu Rodrick Lazaro Mpogolo ameibomoa ngome ya mzee Lowassa katika mkutano mkubwa wa ndani uliohudhuriwa na wajumbe 1863 katika kata ya Migungani wilaya ya Monduli.

Amewataka kuhakikisha wanampa kura nyingi za ushindi wa heshima mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Ndugu Julius Kalanga kuwa mbunge wa Monduli siku ya Jumapili tarehe 16/09/2018. View attachment 864238 View attachment 864239 View attachment 864240 View attachment 864241
Uliwahesabu?
 
Forum statistics

Threads 1,204,331
Members 457,240
Posts 28,151,546