Mpogolo aivunja ngome ya Lowassa jimbo la Monduli

MASIGA

Senior Member
Aug 29, 2015
130
281
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Ndugu Rodrick Lazaro Mpogolo ameibomoa ngome ya mzee Lowassa katika mkutano mkubwa wa ndani uliohudhuriwa na wajumbe 1863 katika kata ya Migungani wilaya ya Monduli.

Amewataka kuhakikisha wanampa kura nyingi za ushindi wa heshima mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Ndugu Julius Kalanga kuwa mbunge wa Monduli siku ya Jumapili tarehe 16/09/2018.
IMG_20180912_180848.jpg
IMG_20180912_180842.jpg
IMG_20180912_180831.jpg
IMG_20180912_180827.jpg
 
Angalia mwonekano wa wapiga kura wa CCM na wale waliokuwa kwenye kampeni ya Lowasa the othe day. Compare and contrust.
 
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Ndugu Rodrick Lazaro Mpogolo ameibomoa ngome ya mzee Lowassa katika mkutano mkubwa wa ndani uliohudhuriwa na wajumbe 1863 katika kata ya Migungani wilaya ya Monduli.

Amewataka kuhakikisha wanampa kura nyingi za ushindi wa heshima mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Ndugu Julius Kalanga kuwa mbunge wa Monduli siku ya Jumapili tarehe 16/09/2018. View attachment 864238View attachment 864239View attachment 864240View attachment 864241
safi sana mkuu
Chama Mfu kikitengeneza Mkutano Monduli..jpg

next time tumieni usafiri wa mabasi mtakuja kuua watu bure !
Chama Mfu kikitengeneza Mkutano Monduli..jpg
 
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Ndugu Rodrick Lazaro Mpogolo ameibomoa ngome ya mzee Lowassa katika mkutano mkubwa wa ndani uliohudhuriwa na wajumbe 1863 katika kata ya Migungani wilaya ya Monduli.

Amewataka kuhakikisha wanampa kura nyingi za ushindi wa heshima mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Ndugu Julius Kalanga kuwa mbunge wa Monduli siku ya Jumapili tarehe 16/09/2018. View attachment 864238View attachment 864239View attachment 864240View attachment 864241
Uliwahesabu?
 
Back
Top Bottom