Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 2,381
- 3,144
Miaka 7, 8 , 10 . Gape
Si ni sawa kuoa😀
Kuna binti hapa nimedata nae
Si ni sawa kuoa😀
Kuna binti hapa nimedata nae
Acha utani mkuu miaka 15?Kuanzia miaka 15 ndio Sawa
Unaweza kumwambia kitu na akafanya Kwa wakati huo.
Lakini mpishano wa miaka 10 kushuka chini huyo bado kimaono MPO Sawa.
Endelea kukaza fuvu likukute Jambo
Sio hela tena 🤣Hata miaka 50 fresh tuu, cha msingi kikojoleo viweze kuhimili mikikimikiki
🤣🤣🤣Mjukuu wako huyo, mkigombana kidogo anakupiga teke kendre na huna cha kumfanya..!!
🤣🤣Demu wangu amenipita miaka 5 tu, cha ajabu masela wanadai ninamiliki mshangazi, sijui wanampango gani hawa jamaa.
Jitwishwe kiongozi 😹🤣🤣🤣
Mababu zetu mbona walioa hivo
Mzee na maza age gape 10
Usinikatishe tamaa
Nimemuelewa
Aina noma ngoja nijipangeeeJitwishwe kiongozi 😹
UwiiiKuanzia miaka 15 ndio Sawa
Unaweza kumwambia kitu na akafanya Kwa wakati huo.
Lakini mpishano wa miaka 10 kushuka chini huyo bado kimaono MPO Sawa.
Endelea kukaza fuvu likukute Jambo
Ndo yule super tall age mate 😜Wangu nime mzidi miaka 5, age mate alikuwa na mambo mengi kama gazeti la kihindi.
Na wadogo pia si huwa wanajifunza mambo mengi?Wangu nime mzidi miaka 5, age mate alikuwa na mambo mengi kama gazeti la kihindi.
Hahaha, wacha ramli chonganishi.Ndo yule super tall age mate 😜
Oa mkuu🤣🤣🤣
Mababu zetu mbona walioa hivo
Mzee na maza age gape 10
Usinikatishe tamaa
Nimemuelewa
Japo sija muoa, ila Huyu since day 1 kanyooka.Na wadogo pia si huwa wanajifunza mambo mengi?
Una bahati mkuu haha
Adi wewe unamiliki pisi, kweli wanawake wana huruma.Wangu nime mzidi miaka 5, age mate alikuwa na mambo mengi kama gazeti la kihindi.