Mpira Umekosa Ladha


Na hii ndio dawa. Hakuna balance of power, timu zinatumia nguvu ya fedha na hakuna anayejali ukuzaji wa vipaji. Timu inayothubutu ku-invest kwenye ukuzaji wa vipaji haiwezi kushindana na timu zinazonunua ushindi. Arsenal imeumia kwa mtindo huo. Dawa ni hiyo FF Rule
 
Teh teh teh!kwa kuwa vibonde wako wa uingereza wametolewa!!

Wachezaji wa maana huwa hawachezi ligi ya Uingereza - waliotajwa hapo juu sio kwamba hawakuwahi kucheza Uingereza tu ila pia walizigalagaza timu za Uingereza; Redondo tobo lake Man U hawatalisahau, pia hawatasahau hat trick ya Ronaldo na alichowafanya Ronaldinho kwa kisigino!
 
We Gutierez hebu ifike kipindi uwe na staha...maana naona unae kila kona ndugu yangu Juve2012
Alininyima raha kule Turati na kuanika namba yangu ya simu hadi wanaonidai ikawa kero,ila sorry natonesha donda
 
Hahahaha pole no comments,usikose fainali UCL in avdance El Classico tarehe 25 May@Wembley London
 
Wanaitwa SS Lazio Roma...
1. Peruzzi
2. Paolo Negro
3. Sinisa Mihajlovic
4. Fernando Couto
5. Alesandro Nesta
6. Diego Simeone
7. Claudio Lopez
8. Juan Sebastian Veron....

Soka lilikuwa miaka ile Mungu hajaondoka Duniani...
Huyu Sinisa Mihajlovic alikuwa bingwa wa mipira iliyokufa yeye na Juninho Pernambucarno,Beckham anasubiri
 
Mnajiumiza roho soka sasa lipo Spain likiongozwa na FC Barcelona
 
Wanaitwa SS Lazio Roma...
1. Peruzzi
2. Paolo Negro
3. Sinisa Mihajlovic
4. Fernando Couto
5. Alesandro Nesta
6. Diego Simeone
7. Claudio Lopez
8. Juan Sebastian Veron....

Soka lilikuwa miaka ile Mungu hajaondoka Duniani...

uuwii!hivi list hii nyasi hazikuwa zinazungumza uwanjani kweli?ndio maana viwanja vya zamani viliota vipara mapema na hasa kwenye 18 yard box!sio siku hizi nyasi hata hazichoki bwana!
 

edger Fongo,Said Zimbwe,Makumbi Juma "homa ya jiji",nicodemus mtekere,Sahau Kambi,juma Pondamali(awashukuru sana polisi maana mbwembwe zingemuua huyu siku ile mashabiki wangezaa nae),Hassan Hafif(chloroquine ya Yanga),mau mkami.dah!GANG CHOMBA HOMA YA ILALA..teh teh.!
 
Katika drama za soka ambazo sitazisahau maishani ni siku ile sami kuffor anapigapiga ngumi chini huku akilia kwa uchungu baada ya babu Ferguson kuwafanyia kitu mbaya bayern ambayo kamwe hawataisahau.dk mbili za nyongeza,sub mbili kaingiza,magoli mawili na ndoo mkononi!nyingine ilikuwa mechi ya deportivo na psg ya akina Okocha.hadi zimebakia dk saba mpira kuisha psg wanaongoza 3-1.depo wakamuingiza sub mmoja anaitwa Walter Pandiani.hadi mpira unaisha deportivo waliondoka na ushindi wa goli 4-3!walipata kona tatu,zote Pandiani aliziunganisha wavuni kwa vichwa!Okocha hakuamini macho yake!
 

na goli la kwanza la depo lilifungwa na sub mwingine Diego Tristan kwa kichwa pia!
 


nicola Amoruso, Pavel Nedved, Nicola Ventola, Zvonimir Boban, Uncle Seedorf, Marcelo Salas, Sheva, Ivan Zamorano, Vieri, Nakata, Batistuta, Maestro Manuel Cesar Rui Costa, Alesandro del Piero, Trezeguet, Mauro German Camoranessi, Vicenzo Montella, Francesco Totti, Pippo Inzaghi, Danielle De Rossi, Tordo, Buffon, Dida, Peruzzi, usiku wa Nyota Demetrio Albertini...

Bwana weee soka limekwisha...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…