Pesa na tacticians wanaharibu the beautiful game, juzi nilikua namsikiliza kocha wa Reading aliyetimuliwa, anasema kwenye championship wanacheza open games, they pass the ball and players express their skills lakini ukiwa EPL ukijaribu kucheza hivyo jiandae kushuka daraja, kama huamin waulize Blackpool ya kina Charlie Adams, sasa imagine kwa ligi kama EPL inayoangaliwa zaidi duniani ili usurvive inabidi ucheze hovyohovyo, ukienda Spain ni ligi ya team mbili tu cku hzi na hiyo inatokana na pesa za mikopo walizonazo hizi team kubwa mbili na ndio clubs zenye madeni makubwa kati ya club kubwa za Ulaya.
Na kwa sababu pesa imekua too much kwenye club level mpaka inafikia kuua vipaji vya wachezaji wazuri kwa sababu ya ukwasi walionao (sihitaji kuwataja coz mnawajua) ndio maana soka la kimataifa limekosa ladha kabisaa. FIFA rushwa na siasa vimetawala. Tuombe uzima lakini cjui miaka 10 ijayo tutaona mpira wa aina gani kwa hii dunia ya sasa ambayo mungu wake ni pesa!
kwetu sie wa kitambo ndio tunaiona hii tofauti lakini wenyewe wa kizazi cha leo wanaona kumekucha!hamuwezi amini mechi za jana na leo sijatazama,na matokeo yamekuwa vile vile watu walivyohisi.zamani ukienda juve unakuta watu,ukienda man u watu,arsenal watu,Marseille,deportivo,valencia ya akina Mendieta,barca,Munich,leverkusen,Ajax.sasa leo watu wote wako madrid,barca,na hawa wanakopa bank huku wewe juve kwenu mikopo marufuku,viwanja ndio tunapata ruhusa ya kujenga miaka hii,timu zimefilisika,sio serie a ile huku napoli maradona,kule juve baggio,hapa milan van bastern,kule inter de lima,hapo fiorentina batigol,huku lazio Crespo,kule parma buffon,Nakata..hapo hujaja la liga ukamchungulia Rivaldo,Hiero na wenzao,hujaenda kwa Lars Ricken,effenburg na wenzao Bundesliga,hujarudi kwa Pele,Papin,Duggary,karembeu na wenzao pale league one,hujarudi kwa Davids mjini amsterdam,yaani nazunguka tu sijaingia Epl hapo mtanisaidia wenyewe,labda nimtaje jamaa yule wa Newcastle alikuwa ananirusha roho sana..Faustinoo..(Chomba malizia).ukienda Galatasaray unamkuta Hagi na yule jamaa anapiga mashuti ya vichwa Mario Jardel.hujarudi coppa libertadores uwakute river plate,flamengo na magoli ya hatari kabisa!yaani unashika remote unazunguuka tuu hujui utazame wapi!tangu 1990(nakumbuka mwaka huu nilitandikwa bakora shule kwa kuchafua daftari na picha za akina Biyick,Mfede,Milla,higuita,Cannigia,Donadoni) hadi 2002 ni rusha roho tuu!leo hii umtazame nani serie a,league one,holland?utaishia spain umtazame cr7 na messi wee hadi usinzie!
Miriam Makeba- Pole Mze - YouTubekwetu sie wa kitambo ndio tunaiona hii tofauti lakini wenyewe wa kizazi cha leo wanaona kumekucha!hamuwezi amini mechi za jana na leo sijatazama,na matokeo yamekuwa vile vile watu walivyohisi.zamani ukienda juve unakuta watu,ukienda man u watu,arsenal watu,Marseille,deportivo,valencia ya akina Mendieta,barca,Munich,leverkusen,Ajax.sasa leo watu wote wako madrid,barca,na hawa wanakopa bank huku wewe juve kwenu mikopo marufuku,viwanja ndio tunapata ruhusa ya kujenga miaka hii,timu zimefilisika,sio serie a ile huku napoli maradona,kule juve baggio,hapa milan van bastern,kule inter de lima,hapo fiorentina batigol,huku lazio Crespo,kule parma buffon,Nakata..hapo hujaja la liga ukamchungulia Rivaldo,Hiero na wenzao,hujaenda kwa Lars Ricken,effenburg na wenzao Bundesliga,hujarudi kwa Pele,Papin,Duggary,karembeu na wenzao pale league one,hujarudi kwa Davids mjini amsterdam,yaani nazunguka tu sijaingia Epl hapo mtanisaidia wenyewe,labda nimtaje jamaa yule wa Newcastle alikuwa ananirusha roho sana..Faustinoo..(Chomba malizia).ukienda Galatasaray unamkuta Hagi na yule jamaa anapiga mashuti ya vichwa Mario Jardel.hujarudi coppa libertadores uwakute river plate,flamengo na magoli ya hatari kabisa!yaani unashika remote unazunguuka tuu hujui utazame wapi!tangu 1990(nakumbuka mwaka huu nilitandikwa bakora shule kwa kuchafua daftari na picha za akina Biyick,Mfede,Milla,higuita,Cannigia,Donadoni) hadi 2002 ni rusha roho tuu!leo hii umtazame nani serie a,league one,holland?utaishia spain umtazame cr7 na messi wee hadi usinzie!
kwanza kabisa karibu sana jf mkuu wangu...heshima kwako mkuujuve2020 ndio maana wakubwa wa UEFA kwa kuliona hili wanataka ku impose financial rules kwamba vilabu viiendeshe ndani ya uwezo wao,of course matajiri kina Abramovich nao wanakuna vichwa wakitafuta namna ya kufanya usanii (financial engineering) ili wakwepe madhara ya kanuni hii,ngoja tuone maana itaanza kuwa effective 2015 kama sikosei.
WC 94
usa walikua na mtu anaitwa ales lalas.goli alikua Tony mela
brazil walikua na tafarel,romario...dah..ronadldo de lima yuko benchi
kuna yule wa colombia anlikua na manywele mengii...kipa wao renee higuita
Companero..unatumbusha mbali sana
alikua carlos alberto pereira ..km sikosei... au zagalobenchi la brazil lilikuwa noma, kuna siku walimuingiza viola alifanya mambo ya ajabu kuliko hata kina bebeto!
juve2020 ndio maana wakubwa wa UEFA kwa kuliona hili wanataka ku impose financial rules kwamba vilabu viiendeshe ndani ya uwezo wao,of course matajiri kina Abramovich nao wanakuna vichwa wakitafuta namna ya kufanya usanii (financial engineering) ili wakwepe madhara ya kanuni hii,ngoja tuone maana itaanza kuwa effective 2015 kama sikosei.
Miriam Makeba- Pole Mze - YouTube
Pole pole mzee,pole pole mzee,pole pole bibi kizee(Juve) kwa kufungwaaaaaa!
huwezi kuizungumzia lazio ya wakati huo bila kumtaja Giuseppe "Beppe" Signori
Hahaa, yaani ukimuona Ronaldo Assis a.k.a 'Little Ronaldo' unachanganyikiwa - of course alikuwa mkali, ila sio kumzidi wajina wake!
huwezi kuizungumzia lazio ya wakati huo bila kumtaja Giuseppe "Beppe" Signori
kwetu sie wa kitambo ndio tunaiona hii tofauti lakini wenyewe wa kizazi cha leo wanaona kumekucha!hamuwezi amini mechi za jana na leo sijatazama,na matokeo yamekuwa vile vile watu walivyohisi.zamani ukienda juve unakuta watu,ukienda man u watu,arsenal watu,Marseille,deportivo,valencia ya akina Mendieta,barca,Munich,leverkusen,Ajax.sasa leo watu wote wako madrid,barca,na hawa wanakopa bank huku wewe juve kwenu mikopo marufuku,viwanja ndio tunapata ruhusa ya kujenga miaka hii,timu zimefilisika,sio serie a ile huku napoli maradona,kule juve baggio,hapa milan van bastern,kule inter de lima,hapo fiorentina batigol,huku lazio Crespo,kule parma buffon,Nakata..hapo hujaja la liga ukamchungulia Rivaldo,Hiero na wenzao,hujaenda kwa Lars Ricken,effenburg na wenzao Bundesliga,hujarudi kwa Pele,Papin,Duggary,karembeu na wenzao pale league one,hujarudi kwa Davids mjini amsterdam,yaani nazunguka tu sijaingia Epl hapo mtanisaidia wenyewe,labda nimtaje jamaa yule wa Newcastle alikuwa ananirusha roho sana..Faustinoo..(Chomba malizia).ukienda Galatasaray unamkuta Hagi na yule jamaa anapiga mashuti ya vichwa Mario Jardel.hujarudi coppa libertadores uwakute river plate,flamengo na magoli ya hatari kabisa!yaani unashika remote unazunguuka tuu hujui utazame wapi!tangu 1990(nakumbuka mwaka huu nilitandikwa bakora shule kwa kuchafua daftari na picha za akina Biyick,Mfede,Milla,higuita,Cannigia,Donadoni) hadi 2002 ni rusha roho tuu!leo hii umtazame nani serie a,league one,holland?utaishia spain umtazame cr7 na messi wee hadi usinzie!
Miriam Makeba- Pole Mze - YouTube
Pole pole mzee,pole pole mzee,pole pole bibi kizee(Juve) kwa kufungwaaaaaa!
wanikumbusha mbali wewe,kuna mtu aliitwa Daniele Massaro unamkumbuka?halafu kuna jamaa wa A.s roma ana mdomo mkubwa aliitwa Damiano Tommasi,unamkumbuka?kuna mjerumani mmoja hivi aliitwa Karlheinz Riedle unampata?unaikumbuka ile tik tak ya Anthony Yethony Yeboah akiwa Eintracht Frankfurt?ni balaa tupu enzi hizo!unaonaje?unafikiri kuna jipya huko mbele au ndio tuhitimishe mambo kwa kukiita kizazi hiki cha miaka ya themanini na tisini kuwa ni Golden age?