Mpira Umekosa Ladha

Mpira Umekosa Ladha

Heri miaka ile ya kina Ronaldo, Redondo na Ronaldinho. UCL sasa inaboa! Ni lini tutawaona tena wachezaji wenye viwango vya uhakika?

Kama kuna thread ina madini ambayo Companero umewahi kuianzisha basi ni hii...
Ngoja niingie maktaba kwanza, ntarudi kwa kuchangia...

Forza Milan
Bravo Dinho...
 
Kama kuna thread ina madini ambayo Companero umewahi kuianzisha basi ni hii...
Ngoja niingie maktaba kwanza, ntarudi kwa kuchangia...

Forza Milan
Bravo Dinho...

Hahaa, yaani ukimuona Ronaldo Assis a.k.a 'Little Ronaldo' unachanganyikiwa - of course alikuwa mkali, ila sio kumzidi wajina wake!
 
Itatuchukua muda mrefu sana kuona umahiri kama wa Romario, Figo, Costa et al.
 
Kwa viwango vya wachezaji wa sasa kama ile Super Eagle ya kina Emanuel Amunike, Daniel Amokach, Finidi G, Oliseh et al au Indomitable Lions ya kina Roger Miller, Makanaki, Biyiki, Fede et al wangeibukia sasa hivi naamini Afrika tungenyanyua ndoo.
 
kaka siku hizi kila kitu siasa ndio tunaangaika nazo..
 
fomeshen zinaua.vipaji na ni.faida kwa makocha tuu, wachezaji wanakosa kufurahia mchezo na washabiki tunakosa radha ya mpira na ndio maana hata magoli mengi na mazuri yamepungua. Amin usiami au fanya utafiti.
 
Huyu aliyeleta ule ugonjwa wa dunia kwenye mpira yaani formula ndiye kaaribu kila kitu. wachezaja hawana uhuru wa kuonyesha vipaji vyao.Ninashuhudia mara kwa mara hata huko ulaya mchezaji akipiga chenga jukwaa zima linashangilia nikajua kumbe hata wao vitu hivyo adimu wanavikosa? JAY JAY OKOCHA, DELINSON,DELIMA, CARLOS, TARIBO WEST
 
Itatuchukua muda mrefu sana kuona umahiri kama wa Romario, Figo, Costa et al.

Siku hizi kuna wachezaji wawili tu wa maana,tofauti na walivyokuwa akina Dinyo,Gaza,Carlos Vaderama na Wengineo
 
Yaani hapa napata tabu kusubiria hizi mechi za leo za UEFA, sina hata hamasa - Hivi huko Brazili wamefunga viwanda vya kutengeneza mashine za uhakika?

Ronaldo Mabao
Romario Magoli
Rivaldo Maudhi
Ronaldinho Matobo
Roberto Manduki
Denilson Machenga
Dunga Mapasi
Cafu Mambio
Companero Makanzu
 
Gang Chomba maskills
 
Isije kuna watu wa man U, maana ...... fb wameonyesha hasira/machungu yao kwa kusambaza picha.
Just thinkng lound!!!
Nb: ni lazima uwe uliacha kuangalia ucl kwa miaka 4 au3, otherwise ni walewale
Sp
 
Pesa na tacticians wanaharibu the beautiful game, juzi nilikua namsikiliza kocha wa Reading aliyetimuliwa, anasema kwenye championship wanacheza open games, they pass the ball and players express their skills lakini ukiwa EPL ukijaribu kucheza hivyo jiandae kushuka daraja, kama huamin waulize Blackpool ya kina Charlie Adams, sasa imagine kwa ligi kama EPL inayoangaliwa zaidi duniani ili usurvive inabidi ucheze hovyohovyo, ukienda Spain ni ligi ya team mbili tu cku hzi na hiyo inatokana na pesa za mikopo walizonazo hizi team kubwa mbili na ndio clubs zenye madeni makubwa kati ya club kubwa za Ulaya.

Na kwa sababu pesa imekua too much kwenye club level mpaka inafikia kuua vipaji vya wachezaji wazuri kwa sababu ya ukwasi walionao (sihitaji kuwataja coz mnawajua) ndio maana soka la kimataifa limekosa ladha kabisaa. FIFA rushwa na siasa vimetawala. Tuombe uzima lakini cjui miaka 10 ijayo tutaona mpira wa aina gani kwa hii dunia ya sasa ambayo mungu wake ni pesa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom