Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Tusitafute plan kocha hana mbinu ya kusoma mchezo,maana wachezaji ndo wanaopokea maelekezo kwa Kocha.
Baada ya mechi ya jana Francis Baraza alisema, tulipoingia uwanjani tulijua Simba wana mpira mwingi wa kuanzisha, na wakaingia na viungo wengi, mbinu yao ikawa kuwadhiti kipindi cha kwanza na walijua kipindi cha pili watafunguka halafu tufanye counter attack maana na wao watakuwa wamefunguka kushambulia au watapunguza viungo kuingiza mastraika.
Sasa Pablo ndo huyo, Mzamiru na Kapombe walishapoteza mipira mingi na hafanyi sub, sub aliyofanya anamwingiza Bocco kweli?.
Najua Kocha atatimuliwa lakini Matola naye asepe inawezekana ndo kirusi kubwa. Kama kila msimu unabadilisha benchi la ufundi kwanini Matola naye anabaki?
Kwenye mechi zote tulizocheza penati 7 Simba wanafunga 2 tu huko kwenye mazoezi wanafanya nini? Hakuna cross za maana zinagonga maadui hata kabla ya kufika kwenye maeneo hatarishi. Fouls ndo usiseme.
Simba wamejisahau na kujiona ni wakubwa hata mechi za kimataifa msimu huu hamna waliyoshinda ugenini na tumefika hapa kwa aggregate.
Wachezaji wote wana papara kila mtu ana presha akipata mpira anabutua tu, dribble za kijinga za kutafuta sifa kucheza na mashabiki halafu matokeo sifuri.
Ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app