Florent Ibenge ni Simba, Simba ni Ibenge?

franckkimm

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
440
852
Wakuu,

Poleni Ni majukumu ya kila siku,

binafsi baada ya kuona Simba almost misimu mitatu hatufanyi vizuri kwenye USAJILI/SCOUTING tofauti na hata watani zetu (Yanga).

Nimetafakari Sana juu ya hili; mfano tu mrahisi, ukiangalia kikosi Cha Simba kina mapungufu kwenye maeneo Kama kiungo mkabaji,beki wa kushoto (back up ya zimbwe) n.k

Mapungufu Ni mengi siwezi kuelezea yote nyie kama wadau wa mpira hasa mashabiki wa Simba mnatambua. KIUFUPI Simba haikufanya scouting nzuri at all, kwa usajilii woteee wa msimu huu Ni Che Malone TU ndio tunaweza kusema yupo vzr wengine Ni ingia toka, ni kama kikosi Ni Kile Kile TU.

KWANINI IBENGE?
1. Ni kocha Mwenye experience ya mpira wa africa, hii haitaji maelezo

2. ANAIJUA SIMBA, ata akiwa kocha ni rahisi Sana kujua wapi Kuna shida na kupafanyia kazi

3. Ni kocha wa mbinu hasa kwenye mechi za kimataifa anajua namna ya kupanga kikosi, Pia hata kwa mashabiki wa Simba sioni Kama kutakuwa na ile 'fans pressure" tofauti na makocha wa nje

4. Atatusaidia Sana kwenye Usajili since anajua wachezaji (hasa wa CONGO) ambaye akimleta, obviously ataleta impact moja kwa moja kwenye timu.

huyu Ni aina ya kocha anaweza hitaji wachezaji watano TU Alafu ndio utajua hujui!!!....Kama unabishaa waulize utopolo alichowafanya(jokes)

CHANGAMOTO
1. Mshahara wake Simba inaweza kumlipa?

2. Bajeti na aina ya wachezaji anaowahitaji Ni kubwa Simba tutaweza????

USHAURI
Kuliko kupoteza mihela kusajili wachezaji weengiiii ambao Ni wa kawaida tuuu.....mwambieni BOSS MO amwage pesa, Leta ibenge floreee na wachezaji 3/4 tu wa maaana Alafu tukutane uwanjani

Nawasilisha!
 
Kawape ushauri Yanga. Simba tupo konfotabo na Mzee wa Objective!
 
Kama huchangii pesa yoyote kwenye usajili, hizi ni kelele tu.
 
Ukiachana na maswali YAKo Mimi Ni shabiki kwahiyo Nina maoni na ushauri wa kutoa.....hela ninayolipa kwenda kuangalia mechi za Simba Ni mchango toshaa
Kama hela ya kiingilio unayolipa ni mchango tosha basi nunua nayo wachezaji uwalete
 
Mkuu, binafsi Mimi hayo Ni mawazo yangu naweza nisiwe sahihi kwa upande wako ok???....na ww unaweza kutoa mawazo YAKo pia sote tupo kwa Nia ya kujifunza
 
I'm Simba dam dam....rudia kusoma mkuu I'm just talking about future plans
Kwenda zako bana, timu iko vizuri...kocha sio tatizo. Future plan, Ibenge...?! As if atafanya sijui maajabu gani ghafla.

Al Hilal hajakwama nayo mwaka jana tena hatua ya makundi Simba ikienda robo fainali na Robertinho.

Kocha ana miezi tisa tu, takwimu zinamlinda mnatokea mashabiki-makocha kibao na stori za ajabu ajabu.

Tulia wataalamu wafanye kazi zao. Mapasi pasi tushacheza sana ya bila mpango na mpango, sasa ni mwendo wa objective football,kisha tutaremba baadae. Muda ni mfupi mambo ni mengi Robertinho kazi ya muda mfupi mambo mengi anaiweza.

Nabi alitaka kule alipoenda aanze kusuka timu kama Yanga, watu oyaa haujatupeleka makundi TTROOOKAAAH...Gamondi ngoja akwame makundi, Simba iende robo fainali, utaona akili za mashabiki-makocha wa Yanga pia.
 
Wakuu,

Poleni Ni majukumu ya kila siku,

binafsi baada ya kuona Simba almost misimu mitatu hatufanyi vizuri kwenye USAJILI/SCOUTING tofauti na hata watani zetu (Yanga).

Nimetafakari Sana juu ya hili; mfano tu mrahisi, ukiangalia kikosi Cha Simba kina mapungufu kwenye maeneo Kama kiungo mkabaji,beki wa kushoto (back up ya zimbwe) n.k

Mapungufu Ni mengi siwezi kuelezea yote nyie kama wadau wa mpira hasa mashabiki wa Simba mnatambua. KIUFUPI Simba haikufanya scouting nzuri at all, kwa usajilii woteee wa msimu huu Ni Che Malone TU ndio tunaweza kusema yupo vzr wengine Ni ingia toka, ni kama kikosi Ni Kile Kile TU.

KWANINI IBENGE?
1. Ni kocha Mwenye experience ya mpira wa africa, hii haitaji maelezo

2. ANAIJUA SIMBA, ata akiwa kocha ni rahisi Sana kujua wapi Kuna shida na kupafanyia kazi

3. Ni kocha wa mbinu hasa kwenye mechi za kimataifa anajua namna ya kupanga kikosi, Pia hata kwa mashabiki wa Simba sioni Kama kutakuwa na ile 'fans pressure" tofauti na makocha wa nje

4. Atatusaidia Sana kwenye Usajili since anajua wachezaji (hasa wa CONGO) ambaye akimleta, obviously ataleta impact moja kwa moja kwenye timu.

huyu Ni aina ya kocha anaweza hitaji wachezaji watano TU Alafu ndio utajua hujui!!!....Kama unabishaa waulize utopolo alichowafanya(jokes)

CHANGAMOTO
1. Mshahara wake Simba inaweza kumlipa?

2. Bajeti na aina ya wachezaji anaowahitaji Ni kubwa Simba tutaweza????

USHAURI
Kuliko kupoteza mihela kusajili wachezaji weengiiii ambao Ni wa kawaida tuuu.....mwambieni BOSS MO amwage pesa, Leta ibenge floreee na wachezaji 3/4 tu wa maaana Alafu tukutane uwanjani

Nawasilisha!
Niko na wewe
 
Back
Top Bottom