Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
Habari zenu wana jf natumai ni wazima.Najuwa wengi watanipinga na wengine wataniona mshamba lakini mpira na pombe ni starehe ambazo zimenikalia Kushoto.Nimejitahidi sana kujifunza kupenda mpira kwa kuwa rafiki zangu asilimia99 wanapenda mpira lakini nimeshindwa kabisa.Huwa nashangaa sana kuona mtu anaenda kuangalia mpira hadi usiku wa manane wanaweza je?Mbona Mimi nashindwa.Huwa nashangaa sana kuona mtu analalamika kisa kafungwa katika mpira hivi inawezaka kweli,hisia za kulalama zinatoka wapi.
Kupenda mpira siwezi na sitoweza kuangalia hata kupoteza muda kwa ajili ya mpira.
Kunywa pombe hii ndo starehe ambayo imenipita kushoto tena Mbali kabisa.Kampani yangu wengi wanapiga gambe lakini mimi sijawahi hata kuonja kama sio kunusa harufu yake.Siwachukii wanywaji kwani kila mmoja na starehe yake ila kwangu sipendi pombe.Nilipokuwa chuo rafiki zangu tukienda club starehe Yao ni pombe ila Mimi napiga Milinda nyeusi tu.
Hizi ni baadhi ya starehe ambazo hadi naondoka katika uso wa ardhi sitoweza kuzifanya.
Lakini najiuliza wanaopenda mpira na wanaokunywa pombe walianza kwa namna gani mbona Mimi siwezi.
Noted:Nimezaliwa Dar nimesoma dar primary,Olevel,advance na chuo.