Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
- Thread starter
- #21
Sio wewe peke yako Mimi pia.
Starehe yangu kubwa ni kupimp up room yangu anytime nipatapo fedha, kwa vitu vizuri.
Same boat
Sio wewe peke yako Mimi pia.
Starehe yangu kubwa ni kupimp up room yangu anytime nipatapo fedha, kwa vitu vizuri.
Mimi mpira ndo ulevi mkubwa sana.
Uko Kona Bar Sinza au Sugar ray kwa sokota au basi Buguruni Kimboka Bar au kama ni Arusha basi Picknick Bar au Batotoz night club Yombo Dar au Villa Park Mwanza?
Mkuu kilichokuchekesha umekijua hahahah Ila Ukweli wengi wanajidanganya kila mwanadamu ana ulevi wake.... Kwa hiyo kama ulevi wako siyo mpira, au kuongea umbea, au kuchonganisha watu, au kuiba, au kuroga, au kufanya ngono au kuvuta sigara, au kulewa , au kuzurura, au hata kutoogaHahaaa nimecheka sana.Mimi sio Malaya kama ulivyodai ila kwa starehe hizo acha niwe bush boy
Mkuu umenifurahisha hapa....yani kutoka pich ya mita mia unakuja kudondokea kwenye futi 6!!! nadhani six bai six ndio second choice yako....Aisee hakuna kitu kinachonipa furaha kubwa maishani kama mpira hasa pale timu yangu inapocheza na kufunga raha na mzuka ninaoupata ni zaidi ya mtanange wa 6*6
hyo american football sio football..watu wanacheza na mikono kwa % kubwa halafu wanaita football!!?Kwa sisi wapenda michezo Tennis, Soccer, Basketball, American Football michezo ni part and parcel ya maisha yetu. Mtu unajua kuna game ambayo huitaki kuikosa basi unafanya mambo yako mapema ili siku hiyo ukae kwa raha zako unaangalia mmoja wa michezo hiyo kwa iwe nyumbani kwako na marafiki au Bar.
Ila muziki uko kwenye damu. Ukiniambia kwenda kujirusha na kuangalia game kujirusha kutapewa kipaumbele hasa kama ni sehemu ambayo inapiga debe za uhakika.
Basi utakuwa bonge la Malaya yaani Player mkubwa na wanawake wanakukoma kifupi hakuna Binadamu asiyekuwa na starehe... Kama siyo Mnywa Pombe ni mvuta sigara na kama siyo mvuta sigara basi wewe ni malaya wa kutupwa yaani bandika bandua

Yaani wewe utakuwa na ulevi mbaya sana... Kuna jamaa yangu tunapiga naye kazi hanywi Pombe, hapendi michezo kwa ujumla yupo YUPO tu... Ana ugonjwa ambao utakuwa nao na wewe DOMO ZEGE AFU ANAHONGA KUPITA MAELEZO....Hahaaa nimecheka sana.Mimi sio Malaya kama ulivyodai ila kwa starehe hizo acha niwe bush boy
Mwanaume hunywi pombe ,huangalii mpira ,huvuti bangi hujakamilika wewe una shida [emoji23] [emoji23]Habari zenu wana jf natumai ni wazima.Najuwa wengi watanipinga na wengine wataniona mshamba lakini mpira na pombe ni starehe ambazo zimenikalia Kushoto.Nimejitahidi sana kujifunza kupenda mpira kwa kuwa rafiki zangu asilimia99 wanapenda mpira lakini nimeshindwa kabisa.Huwa nashangaa sana kuona mtu anaenda kuangalia mpira hadi usiku wa manane wanaweza je?Mbona Mimi nashindwa.Huwa nashangaa sana kuona mtu analalamika kisa kafungwa katika mpira hivi inawezaka kweli,hisia za kulalama zinatoka wapi.
Kupenda mpira siwezi na sitoweza kuangalia hata kupoteza muda kwa ajili ya mpira.
Kunywa pombe hii ndo starehe ambayo imenipita kushoto tena Mbali kabisa.Kampani yangu wengi wanapiga gambe lakini mimi sijawahi hata kuonja kama sio kunusa harufu yake.Siwachukii wanywaji kwani kila mmoja na starehe yake ila kwangu sipendi pombe.Nilipokuwa chuo rafiki zangu tukienda club starehe Yao ni pombe ila Mimi napiga Milinda nyeusi tu.
Hizi ni baadhi ya starehe ambazo hadi naondoka katika uso wa ardhi sitoweza kuzifanya.
Lakini najiuliza wanaopenda mpira na wanaokunywa pombe walianza kwa namna gani mbona Mimi siwezi.
Noted:Nimezaliwa Dar nimesoma dar primary,Olevel,advance na chuo.
Hata kujiunga Jf ni ulevi tena wa hovyo kabisa, Ndio maana kwa ulevi wako hujitambui mpaka umeamua kuandika personal issue humuHabari zenu wana jf natumai ni wazima.Najuwa wengi watanipinga na wengine wataniona mshamba lakini mpira na pombe ni starehe ambazo zimenikalia Kushoto.Nimejitahidi sana kujifunza kupenda mpira kwa kuwa rafiki zangu asilimia99 wanapenda mpira lakini nimeshindwa kabisa.Huwa nashangaa sana kuona mtu anaenda kuangalia mpira hadi usiku wa manane wanaweza je?Mbona Mimi nashindwa.Huwa nashangaa sana kuona mtu analalamika kisa kafungwa katika mpira hivi inawezaka kweli,hisia za kulalama zinatoka wapi.
Kupenda mpira siwezi na sitoweza kuangalia hata kupoteza muda kwa ajili ya mpira.
Kunywa pombe hii ndo starehe ambayo imenipita kushoto tena Mbali kabisa.Kampani yangu wengi wanapiga gambe lakini mimi sijawahi hata kuonja kama sio kunusa harufu yake.Siwachukii wanywaji kwani kila mmoja na starehe yake ila kwangu sipendi pombe.Nilipokuwa chuo rafiki zangu tukienda club starehe Yao ni pombe ila Mimi napiga Milinda nyeusi tu.
Hizi ni baadhi ya starehe ambazo hadi naondoka katika uso wa ardhi sitoweza kuzifanya.
Lakini najiuliza wanaopenda mpira na wanaokunywa pombe walianza kwa namna gani mbona Mimi siwezi.
Noted:Nimezaliwa Dar nimesoma dar primary,Olevel,advance na chuo.
Kwani starehe duniani ni hizo tu?Basi utakuwa bonge la Malaya yaani Player mkubwa na wanawake wanakukoma kifupi hakuna Binadamu asiyekuwa na starehe... Kama siyo Mnywa Pombe ni mvuta sigara na kama siyo mvuta sigara basi wewe ni malaya wa kutupwa yaani bandika bandua
pole mkubwa tuko pamoja pale darajani the blues now wanatuzingua sana no usajili no kushindaAisee pole na mpira ndo starehe yangu kwa mda mrefu mm ni Chelsea nikipata matokeo ya ovyo uwa naumia sana