neema shamuhenya
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 312
- 216
Zimbabwe. Mgombea urais wa muungano wa upinzani wa MDC Nelson Chamisa amewashukuru Wazimbabwe kwa kumuunga mkonio kwa wingi katika tangazo lililosema “tumeshinda kwa wingi". Ujumbe wa Twitter alioutuma jioni jana ulisema “amefurahishwa na uungwaji mkono mlionipatia kama mgombea urais."
Chamisa alitoa maoni hayo wakati Tume ya Uchaguzi Zimbabwe imechelewesha kutangaza matokeo ya urais ambayo ilisema yangetangazwa leo mchana. ZEC inasema wagombea wote 23 wa urais watapaswa kuhakiki matokeo kutoka vituo vyote kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya mwisho. Hii ina maana kwamba mawakala wote wa vyama na waangalizi wa uchaguzi huo kwa wagombea wote 23 watapaswa kuwepo wakati wa mchakato wa uhakiki.
Chamisa aliendelea kusema katika Twitter "hakuna mchezo mchafu wowote utakaoweza kubadili matakwa yenu" akidai kuchelewa kutangaza matokeo ni njama za ZEC kutaka kuiba kura na kuipa ushindi chama cha Zanu-PF, ambacho kimetangazwa tayari kimeshinda viti ving