Mpinzani aongoza Uchaguzi Nchini Zambia

Usishangae ngoma ikapigwa tiktaka,ndio watujua hawajui.
Kumbuka Lungu alikuwa Swahiba na mtu fulani ambaye hivi sasa anachakazwa na moto wa jehanamu kwa ufedhuri aliowafanyia watu.
Umeona anachakazwa ama ni stress zako za kuto kula......msosi
 
Back
Top Bottom