Kwa walichopitia na wanachoendelea kupitia hao ni wapinzani wa kweli..!!
Lissu alikataa PESA za duli na akabaki na misimamo yake, wakati Msigwa kashindwa uchaguzi wa kikanda tayari katema bungo.!!
Huyo Mtikila wakaona mpaka wamtafutie ajali ya mchongo.