Kuna vitu mtu anaweza kubadili misimamo yake...baadhi ya misimamo inahusisha wajihi wa mtu. Kwenye mambo makubwa mtu asiwe na undumilakuwili...kama unasema unapinga ufisadi basi uupinge hata kama anayefanya ni mama yako. Kwenye vitu vidogo wote tunaweza kubadili mawazo.Wabongo wanapenda sana siasa za kuamini watu, wanasahau kwamba mwanasiasa ni kama mtu mwengine anaweza kubadili mitazamo yake na akawa na vipaumbele vyake.
Na kabla ya Magufuli walikuwa hawahami CHADEMA kwenda CCM kila ukifika uchaguzi.Nadhani issue hapa ni hela zinazotumika kuwanunua hawa watu…
Na hii michezo muasisi wake alikuwa Magufuli…
Naona umeanda kujificha juu ya dari wiki moja kabla ya maandamanoWapinzani wa kweli kwangu wapo watatu
MTIKIRA
LISSU
HECHE
Hao watu wana misimamo isiyoyumba, wanasimamia kile wanachokiamini na sio wabinafsi..!! Hawana bei
Hilo wala halina nafasi kwenye mada iliyopo mezani. Aliyemtoa Nusrat Hanje Gerezani tena usiku ndiye mhusika mkuu wa mambo yote. Na hata wewe una ukweli wote.Mnyika alifanya kazi nzuri sana kuwasainia Covid19 ile barua yao. Atakumbukwa daima kwa ushujaa wake.
Hapo ni kumpangia mtu na kumuwekea mipaka sijui shida yote hiyo ya nini? Huku kuweka imani kwa watu ndio maana kumefanya kuwe na hiyo biashara ya kuwanunua hao watu na kuna wakati hata mnashindwa kuona au kuyakubali mapungufu ya hao watu mnaowaamini hadi pale watakapo nunuliwa ndio mnakuja kujiona mlifanywa wajinga wakati wote.Kuna vitu mtu anaweza kubadili misimamo yake...baadhi ya misimamo inahusisha wajihi wa mtu. Kwenye mambo makubwa mtu asiwe na undumilakuwili...kama unasema unapinga ufisadi basi uupinge hata kama anayefanya ni mama yako. Kwenye vitu vidogo wote tunaweza kubadili mawazo.
Mnyika 😂😂😂Mnyika bado uwa simuamini pamoja na yote huyu bado sio mpinzani 100%
Mtanisamehe lakini Kuna siku mtanikumbuka huyu ni mpinzani Aina ya Mbatia
Una akili sana na unaona vizurimnyika huwa namuona kama mwana ccm aliye chadema muda wowote anahama
Hakika zama zile ushawishi ulikuwa mkubwa sana kumsajili CCM lakini alibaki na msimamo wake dhabiti tofauti na kina Silinde na wengineo Mnyika hakika amenyooka hayumbishwi hata kidogoHapana. JJ Mnyika ni mtu wa pekee sana. Hana tamaa ya mali wala madaraka. Hana majivuno wala kiburi. Mtu mwenye misimamo imara isiyoyumbishwa kwa ushawishi wa namna yeyote ile.
Nakumbuka enzi zile za Jiwe, alishawishiwa mno kwa ahadi kede kede ili mradi tu aunge mkono juhudi lkn wapi. Hivyo huyu Jamaa ni Mpinzani muaminifu na mkweli.
Ushazoea kufichwa basi unaona kila mtu wa kufichwa..!!Naona umeanda kujificha juu ya dari wiki moja kabla ya maandamano
Mnyika hajawahi kupitishwa kwenye moto mkali km hiyo miamba..!!Kutomtaja John Mnyika ni kumkosea heshima ya kutambua kazi zake.
Naelewa kwanini haujamtaja. Sababu yeye siyo mwanaharakati kama uliowataja, Ieleweke hiyo haimfanyi kutokuwa mpinzani wa kweli.
Dr Slaa sio mnafiki. Asingeweza kuendelea kuwa kwenye genge la wahuni waliompaka kinyesi Lowassa lakini wakaamua kula matapishi yao na kumsafisha Lowassa.But you conviniently left out Dr. Slaa: one of the biggest fraudsters opposition parties in the country have ever had. When things didn't go his way he joined CCM under Magufuli, after Magufuli's death, he returned to the opposition parties' side again.
Kwa walichopitia na wanachoendelea kupitia hao ni wapinzani wa kweli..!!Usiwaamini sana mdogo angu, wasije wakakushangaza
Kile kichwa 😹😹"Kama zama za mtikila na sera za Gabacholi..."😁😁😁😁😁
Sema huyu Lissu sio wa kupanga naye dili lolote maana lazima ataweka kila kitu hadharani. Kwenye stori yake kuhusu Abdul alinichekesha sana aliposema kwamwambia Abdul akamwambie mama yake amlipe stahiki zake.Kwa walichopitia na wanachoendelea kupitia hao ni wapinzani wa kweli..!!
Lissu alikataa PESA za duli na akabaki na misimamo yake, wakati Msigwa kashindwa uchaguzi wa kikanda tayari katema bungo.!!
Huyo Mtikila wakaona mpaka wamtafutie ajali ya mchongo.
Lissu mwana hip hop anapiga punchline za kibabe 😹😹Sema huyu Lissu sio wa kupanga naye dili lolote maana lazima ataweka kila kitu hadharani. Kwenye stori yake kuhusu Abdul alinichekesha sana aliposema kwamwambia Abdul akamwambie mama yake amlipe stahiki zake.
Ni wale watoto wanaowaambia wageni kuwa "baba amesema tuseme hayupo"...Lissu mwana hip hop anapiga punchline za kibabe 😹😹
Mnyika ni katika ukatibu Mkuu wake Chadema imeumia sana.Mnyika bado uwa simuamini pamoja na yote huyu bado sio mpinzani 100%
Mtanisamehe lakini Kuna siku mtanikumbuka huyu ni mpinzani Aina ya Mbatia