Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,351
Sasa hapa kwenye mada hii kuna jipya lipi mkuu ' Mwanakijiji"? Au kwa vile umezungumzia hao wachache tu toka CHADEMA, ambao wote walijulikana toka zamani?Hakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu.
Ati leo Joshua Nassari yuko CCM..
Ati leo Wenje yuko CCM
Ati leo Peter Msigwa yuko CCM...
Kazi kwelikweli
Naelewa maana yako.huyu ni mpinzani Aina ya Mbatia
Kama hadi leo hii huamini upinzani wa Tundu Lissu, na kudhani yupo yupo tu kuhadaa watu, wewe utakuwa ni mtu wa utani mwingi sana wa kusikitisha.Hata waliobaki usiwategemee
"Kama zama za mtikila na sera za Gabacholi..."😁😁😁😁😁Wapinzani wa kweli kwangu wapo watatu
MTIKIRA
LISSU
HECHE
Hapana Mnyika ni mseminari hawezi kugeuka. Yaani hata lile sakata la lowassa hakuhama bali alisusa tu. So atakua mtu wa mwisho kuhama, ndio maana ule uchaguzi alisimamia haki hakuweka uchawa au kumlinda Mbowe.Mnyika bado uwa simuamini pamoja na yote huyu bado sio mpinzani 100%
Mtanisamehe lakini Kuna siku mtanikumbuka huyu ni mpinzani Aina ya Mbatia
mnyika huwa namuona kama mwana ccm aliye chadema muda wowote anahamaMnyika bado uwa simuamini pamoja na yote huyu bado sio mpinzani 100%
Mtanisamehe lakini Kuna siku mtanikumbuka huyu ni mpinzani Aina ya Mbatia
Hii Chadema ya wakati huu hakuna mamluki au mchumia tumbo atabaki! Kwa sababu mirija yote imekata! Ruzuku wamesitishiwa kwa hila ya Wazanzibari! Kwa hiyo watapukutika wote, na wataokaobaki watakuwa ni washindani wa kweli.Kama hadi leo hii huamini upinzani wa Tundu Lissu, na kudhani yupo yupo tu kuhadaa watu, wewe utakuwa ni mtu wa utani mwingi sana wa kusikitisha.
Hata John Heche simtilii mashaka katika upinzani wa sasa.
Mkuu mpinzani akiwa anatukana tukana hovyo, ndiyo anaonekana wa maana kama anavyofanya sugu? Upinzani ni hoja zenye mashiko siyo makelele na mitusiMnyika bado uwa simuamini pamoja na yote huyu bado sio mpinzani 100%
Mtanisamehe lakini Kuna siku mtanikumbuka huyu ni mpinzani Aina ya Mbatia
Hapana. JJ Mnyika ni mtu wa pekee sana. Hana tamaa ya mali wala madaraka. Hana majivuno wala kiburi. Mtu mwenye misimamo imara isiyoyumbishwa kwa ushawishi wa namna yeyote ile.Mnyika bado uwa simuamini pamoja na yote huyu bado sio mpinzani 100%
Mtanisamehe lakini Kuna siku mtanikumbuka huyu ni mpinzani Aina ya Mbatia
Kutomtaja John Mnyika ni kumkosea heshima ya kutambua kazi zake.Wapinzani wa kweli kwangu wapo watatu
MTIKIRA
LISSU
HECHE
Hao watu wana misimamo isiyoyumba, wanasimamia kile wanachokiamini na sio wabinafsi..!! Hawana bei