Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari, leo Agosti 14 jijini Dares Salaam, mgombea urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema Rais Samia Suluhu Hassan aliposema kuwa yeye anafaa kuwa Mbunge wa Taifa, alimaanisha kwamna yeye atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Rais Samia alitoa taarifa kauli hiyo alipokuwa ziarani mkoani Simiyu Juni 2025, akisema mbunge huyo anapaswa kuwa mbunge wa Taifa.
Amesema Bunge limegawanyika katika semu mbili ambazo ni rais na wabunge.
“Kwa hiyo, Mheshimiwa Samia aliponitazama pale aliona mimi nimeshavuka ubunge napaswa kuwa rais.”