Mpina: Kilo ya Mahindi ni Tsh. 600, Kilo ya Mbegu za Mahindi ni Tsh. 12,000. Waratibu wa mbegu wanatoa wapi hizi bei?

Punguani ni bibi yako.

Gharama ya sukari ya miaka ile na mwaka huu bado ni ile ile?

Kwa hiyo bei inatakiwa kubaki stagnant kwa wakati wote?

Idiot!.
Duuuh! Bei ya mahindi mbona kama ni stagnant?? We sema kama gharama za uzalishaji zimepanda kuliko hapo awali siyo kutusi hadi wazee
 
Naungana na Mpina.Wauza mbegu wameachiwa wajipangie Mbegu Kwa bei wanayojiskia Kwa nini?

Waziri Bashe aliahidi mbele ya Rais kwamba mtatoa bei elekezi ya Mbegu Wiki Jana,mbona kuko kimya Hadi Sasa?

Kwamba niuze kilo 200 za Mahindi Ili ninunue kilo 10 za kutosha ekari Moja.Huu ni wizi Kwa kujipatia faida kubwa kinyume na inavyotakiwa.
---
Akichangia hoja Bungeni Dodoma kuhusu sualala mbegu za mahindi Luhanga Mpina anasema:

"Mbegu bora za mahindi mfuko mmoja ni shilingi 22,000 hadi shilingi 24,000 kwa maana hiyo kilo moja inauzwa shilingi 12,000, wakati huo kilo moja ya mahindi ta kawaida ni shilingi 600 kwa kilo, hivi hao wanaoratibu bei za mbegu wanazitoa wapi hizo bei?

My Take
Mpina anawashinda wengi sana kutumia uzembe wa Serikali kujipatia umaafufu wa Kisiasa kama Mtetezi wa Wanyonge wakati ni tapeli tuu.

View: https://youtu.be/iiawmhgvsWs?si=rLpJjcwmep4cLzxU

so kutumia uzembe wa serikali kuwasemea wananchi ni utapeli??
 
Back
Top Bottom