Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,266
- 44,691
Selasini, Mr. II, Shibuda, Wachungaji, Rejia, n.k.nakuomba umpigie mnyika umweleze haya maneno uliyosema hapo juu.
then unipe jibu lake.
Selasini, Mr. II, Shibuda, Wachungaji, Rejia, n.k.
Wanasiasa wetu ni wasaka tonge tu. Inapofika kwenye posho wanakuwa kitu kimoja. Sasa kwa hili tutawaona ni wapi wanawaonea huruma Watanzania kutoka nafsi za mioyo yao. Hapa hakuna CCM wala CDM hapa kuna utashi wa mtu mmoja mmoja. Makamba na Zitto wapo pamoja; Selasini, Shibuda na wabunge wengi wa CCM wapo pamoja. Hakuna Chama hapa hapa tutawapima watu na kuwahukumu kwa unyang'au wao. Kuongezana posho wakati huu ni unyang'au tu hauna lugha nyingine.
Tunawataka mmoja mmoja si kichaka cha chama. Posho zitaktugawa.Jana Mhe. Halima Mdee alikuwa akihojiwa na EA Radio, akarejea msimamo wa chama wa kupinga mfumo wa posho. Wao kama wabunge wanaweza kususa hizo za mjengo, lakini Jairo na Ngeleja wakaendelea kusaini mil. 4. Wanachopinga CDM ni mfumo wa posho mu-serikali ambao un'toa mianya ya watu kujilipa faranga nyingi!
this nchi cant stop amazing me aisee.....Inashangaza sana! wabunge ni kati ya watu wanalipwa better nchi hii. Kitendo cha kuwaongezea malipo ya aina yoyote ile na kuwaacha watu kama walimu na police wakiwa katika lindi la ufukara halieleweki!
kweli una akili sana weweNa wabunge wa viti maalum wenyewe hawana watu wa kuwapa pesa sababu hawakupigiwa kura na wananchi.
Mbunge wangu ni Wassira, ana roho mbaya kama sura yake. Yuko tayari anipe sumu badala ya fedha ya kunisaidia.Mpigie simu mbunge wako simu mtake akugawie kidogo fedha za kukusaidia matatizo yako ya hapa na pale. Namba yake unaweza kuipata kwenye Parliament of Tanzania Hasa wale ambao wanaunga mkono kupewa posho au wako kimya!
"If you feel MP's are being paid heftly, then join the parliament. If you are in the parliament and you feel you have enough then give a chance to your colleagues."
Huyo mbunge atawasaidia wangapi!
System ndiyo mbovu!
Jana Mhe. Halima Mdee alikuwa akihojiwa na EA Radio, akarejea msimamo wa chama wa kupinga mfumo wa posho. Wao kama wabunge wanaweza kususa hizo za mjengo, lakini Jairo na Ngeleja wakaendelea kusaini mil. 4. Wanachopinga CDM ni mfumo wa posho mu-serikali ambao un'toa mianya ya watu kujilipa faranga nyingi!