‘Mpiganaji‘ Bishop Kakobe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

‘Mpiganaji‘ Bishop Kakobe

Discussion in 'Celebrities Forum' started by The Dude, Dec 28, 2011.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Uko wapi Bishop? Umekuwa kimya sana,Vipindi vyako ya tv hatuvioni tena what‘s up?

  What happened kuhusu bifu lako na mzee wa upako na Rwakatare?Tumemis vijembe vyenu LIVE.

  Zamani ungekuwa ushatoa kauli kuhusu mgombea binafsi,katiba mpya,mahakama ya kadhi,mafuriko n.k lakini sasa uko kimyaaah! Sanasana tunamsikia mzee wa upako tu akizungumza mambo yasiyoelewaka kuhusu shivji,katiba,jairo na JK..UKO WAPI?
  What happened to you?Have you been silenced?Is it true that you‘ve blocked umeme and you‘re the cause of all our misfortunes just because Ngeleja built heavy power lines across your church?
  What is going on kuhusu ile kesi ulofunguliwa na former pastors wa kanisani kwako?What is the real story behind it?
  I miss you bishop,there is something about you kinanifanya nifikire you‘re my hero,but there is also something making me think otherwise..
   
 2. deejo

  deejo Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Anajiandaa na kuhamia kwenye founadtion yake aliyoianzisha Boston - Marekanin
   
 3. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kimya kingi kina mshindo....!
   
 4. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ni kweli?Inaitwaje?
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 1,815
  Trophy Points: 280
  Mhh ... Kweli mkuu ..?

  Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  anajiandaa kuja kivingine so bado anafikiria atoke vipi
   
 7. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hajarudi safari yake ya NIGERIA
   
 8. T

  Timotheo Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe tuthibitishie hapa kwamba Askofu Kakobe "Anajiandaa" kuhamia Boston. Umejuaje? Na ni maandalizi gani anafanya ya kuhamia Boston? Na anapohamia huko Kanisa la Mwenge anamwachia nani? Kumbuka hili ni jukwaa la Great Thinkers na siyo Narrow Minded. Kwa hiyo tuthibitishie hapa. Otherwise, eidha una 'bifu' na Askofu Kakobe au unashabikia usiyoyajua. Kama hujui bora uulize
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mh! Kiukweli sipendi kusikiliza stor zk, KWAHERINI
   
 10. raybse

  raybse Senior Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yule ni mtumishi wa Mungu!! Tujitaidi kuacha dhiaka!! Kama una taarifa ni vizuri kukaa kimya wakati mwingine!!
   
 11. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  nenda pale mwenge, karibu na mlimani city. kila j2 huwa anapanda madhabahuni labda utapata matamko. afu ujue kakobe ni next level. huzungumza panapohitajika, by da way mengi yanayotokea leo alishayasema. mf katiba alimpa wito kikwete angalau hilo afanye ili wananchi wamkumbuke kama mengine yamemshinda. hilo alisema kwenye mkesha wa mwaka juzi kuingia mwaka 2011. sasa kama serikari yenu sikivu mtajaza. mwache he is after a world now.
   
 12. ATUGLORY

  ATUGLORY Senior Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
   
 13. U

  UZEE MVI Senior Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
   
 14. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,855
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  He is my hello too!! Ni Bishop ambaye kwa sasa nimeamini ni mtumishi wa Mungu. KUMBUKA KUHUSU ALIVYOMKEMEA BABU WA LOLIONDO, watu walimkejeli wakiwepo viongozi wa dini wenzake leo huyo Babu yupo wapi??
  Ukimya wake UNAMSHINDO TUSUBIRI KWAKWELI!
   
 15. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,855
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  No research no right to speak.
   
 16. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,855
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  and you, you are my helloo.
   
 17. K

  Kalulu Metusela Member

  #17
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Amekimbilia Congo na hela ya kanisa... Tetezi nilizozipata ni kwamba kanisa limefungwa., mtu ajitokee j2 akathibitishe Kama ts tru maana wengine Tupo mbali
   
 18. p

  pilu JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umesema uko mbali sasa hayo ulosema umepatawapi mmbea na mnafiki wewe!
   
 19. p

  pilu JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani alikuaga lini kua anaenda huko nigeria?
   
 20. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wow,didn‘t know i was someone‘s hero thnx,how?
   
Loading...