Mpiga Picha bora 2012 huyu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpiga Picha bora 2012 huyu hapa

Discussion in 'Jamii Photos' started by bornagain, Sep 25, 2012.

 1. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,390
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 969
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hao wadada/wamama hakukuwa na umuhimu wa wao kupigwa picha maana hadi sura zao hazionekani.
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  wametabasamu wenyewe!!!, itafaa sana kwa kumbukumbu!
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,855
  Likes Received: 5,098
  Trophy Points: 280
  duh nawaogopaje?
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,522
  Likes Received: 1,229
  Trophy Points: 280
  kama pic ni kwa ajili ya ukumbusho watakumbukanaje?
   
 6. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,714
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  Heee full abaya hijab na nikab wamependeza maashallah ila hapo dhumuni la picha limefail

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 7. kisugujira

  kisugujira JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 769
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii kweli ni picha ya mwaka. Sidhani hata huyo jamaa anayewapiga picha hao akina mama na kuwaambia watabasamu kidogo kama hata yeye alikuwa na habari kama anapigwa picha pamoja na hao akina mama!
   
 8. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,390
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Si wanasema kuwa waswahili hujuana kwa vilemba, labda watakumbukana tu
   
 9. hetu

  hetu Senior Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hamna picha hapo kuna vivuli tuuuuu!!!!
   
Loading...