Mpiga Hesabu wa CCM Amefariki dunia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpiga Hesabu wa CCM Amefariki dunia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gambatoto, Jun 5, 2011.

 1. g

  gambatoto Senior Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM bwana, Mbona wanashindwa kutofautisha alama ya kuzidisha (X) na kujumlisha(+)?:

  Angalia 2+3=? Jibu: CCM =6, CDM =5

  Il kuishinda CDM, Mahesabu ya CCM ni:-
  1. Nyang'anya hoja ya Ufisadi na iwe ya kwetu. Lo, imekuwa balaa, imekula kwao(Wrong calculation.
  2. Paka kaburi rangi ili kuwadanya watu kwamba kilichomo ndani yake ni kisafi (Kuvua magamba). Wrong calculation.
  3. Ua wafuasi wa CDM ili kuwaaminisha wananchi kwamba CDM ni chama cha Vurugu. Wrong calculation.
  4. Hakuna kuwaruhusu kuwaaga kwa pamoja marehemu waliouawa na polisi. Tukiruhusu itakuwa kama Arusha, watu watajaa zaidi. Wrong calculation.
  5. Tukiua, tutasema ni majambazi, na tutatoa ubani kwa ndugu wa marehemu kupunguza Hasira, unajua Arusha hatukufanya hivyo. Wrong calculation.
  6. Wakitaka kuwaaga marehemu kwa pamoja (kwsbb wanataka umaarufu), tutanunua majeneza bila vipimo, tutaenda kuwaiba marehemu usiku. Wrong calculation.
  7. Kamata viongozi wa CDM, weka ndani hata kama ni Wabunge. Wrong calculation.

  Badala ya kujiletea umaarufu, wanatoa umaarufu kwa CDM.

  CCM wanaingia kichwakichwa kule CDM wanakotaka. Baadaye wanatambua walikosea, wanakuja na njia nyingine ya kurekebisha ambayo inakuwa mbaya kuliko ya kwanza.

  Ni nani mpiga hesabu wa CCM? Je, Mpiga mahesabu wa CCM amefariki dunia?
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  alizeeka akastaafu na Hesabu zenyewe alikuwa hazijui vizuri
  Na aliyepewa kazi ya kukokotoa na yeye ni kilaza na degree ya English,saikolojia na uandishi wa habari
  Duh jamaaa wapo pabaya
  Halafu ukizingatia mwenyekiti wao alishawahi kukiri yeye mwenyewe hesabu zinamtoa nduki basi tabu tupu!
   
 3. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndiyo, hayupo tena duniani. Si yule babu kizee wa mwembechai, hujui?
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Mnamuongelea yule jamaa anayetoa ulinzi usioonekana.
  Hah hah hah dira ya chama ni yule korong'ondo ambaye kila uchao anaanguka anguka hovyo.
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  MPIGA HESABU WA CCM ni Tambwe Hiza ambae IQ yake ni sawa na katoto kamiaka 4. Usishangae !
   
 6. k

  kakin Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heading yako nilidhani amekufa mtu anayetakiwa Afe ni huyu JK akifa ntashangilia sana
   
 7. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mliwahi kusema CCM ina waogopa Chadema! Sasa lazima mbanwe p*mbu sana na dola!
   
 8. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Kakin hayo mambo ya kifo cha binadamu mwachie Mungu. Siamini kwa kufa Mtu mmoja mambo yote yatakua sawa. Hoja ya namna CCM inavyofanya maamuzi ni ushahidi wa jinsi ilivyokosa uongozi.
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  CCM ISHAJIFIA, WANA HALI NGUMU KWELI. Nape wao siku hizi amekua mtu wa kutanga tanga tu, mara huku kule haeleweki!
   
Loading...