yeah! Jembe ujakosea hata .Bila shaka ni Kibonde
hatumuitaji.
Bila shaka ni Kibonde
Kwani wakina Novatus Makunga wamemzidi nini Kibonde?Kibonde apewe UDC kwa uwezo gani alionao...!!!!
Jana kamdondokea kamada Nasari juu ya kauli yake kweli huyu jamaa ni much-know huku akiwa mweupe peee!!