nyumbani kwenu Senior Member Joined Aug 11, 2020 Posts 159 Reaction score 171 Aug 12, 2020 #1 Msaada mpesa mastercard inagoma kulipa Aliexpress, WE DO NOT ACCEPT THIS KIND OF CARD, tatizo ni nini maana ilikua inakubali hapo mwanzo.
Msaada mpesa mastercard inagoma kulipa Aliexpress, WE DO NOT ACCEPT THIS KIND OF CARD, tatizo ni nini maana ilikua inakubali hapo mwanzo.
colony JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 361 Reaction score 495 Aug 12, 2020 #2 Pole mkuu tuwasubiri waje Na imani watakusaidia
nyumbani kwenu Senior Member Joined Aug 11, 2020 Posts 159 Reaction score 171 Aug 12, 2020 Thread starter #3 colony said: Pole mkuu tuwasubiri waje Na imani watakusaidia Click to expand... asante mkuu
LaRosa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2020 Posts 901 Reaction score 2,891 Aug 12, 2020 #4 Wamefungiwa online transaction nyingi aswaa za forex, egambling, e.t.c
nyumbani kwenu Senior Member Joined Aug 11, 2020 Posts 159 Reaction score 171 Aug 12, 2020 Thread starter #5 LaRosa said: Wamefungiwa online transaction nyingi aswaa za forex, egambling, e.t.c Click to expand... sawa mkuu,maana kuna muda nilijaribu kuwapigia simu haikupokelewa,vipi kwa wadau wa airtel mastercard?
LaRosa said: Wamefungiwa online transaction nyingi aswaa za forex, egambling, e.t.c Click to expand... sawa mkuu,maana kuna muda nilijaribu kuwapigia simu haikupokelewa,vipi kwa wadau wa airtel mastercard?
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,033 Aug 12, 2020 #6 Pole mkuu..mim nimefanya transaction mda sio mrefu kwa hyo hyo voda
nyumbani kwenu Senior Member Joined Aug 11, 2020 Posts 159 Reaction score 171 Aug 12, 2020 Thread starter #7 kcamp said: Pole mkuu..mim nimefanya transaction mda sio mrefu kwa hyo hyo voda Click to expand... kwa site gan mkuu umefanya,maana mkuu hapo juu nilivyomuelewa ni kwa baadhi ya site,umefanya kwa Aliexpress?
kcamp said: Pole mkuu..mim nimefanya transaction mda sio mrefu kwa hyo hyo voda Click to expand... kwa site gan mkuu umefanya,maana mkuu hapo juu nilivyomuelewa ni kwa baadhi ya site,umefanya kwa Aliexpress?
racka98 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 1,042 Reaction score 1,547 Aug 12, 2020 #8 hjr said: sawa mkuu,maana kuna muda nilijaribu kuwapigia simu haikupokelewa,vipi kwa wadau wa airtel mastercard? Click to expand... Airtel Mastercard inapiga kazi kma kawa. Jarb kufungua account ya PayPal then tumia paypal kulipia. Kwenye paypal unaingia hyo card yako
hjr said: sawa mkuu,maana kuna muda nilijaribu kuwapigia simu haikupokelewa,vipi kwa wadau wa airtel mastercard? Click to expand... Airtel Mastercard inapiga kazi kma kawa. Jarb kufungua account ya PayPal then tumia paypal kulipia. Kwenye paypal unaingia hyo card yako
nyumbani kwenu Senior Member Joined Aug 11, 2020 Posts 159 Reaction score 171 Aug 12, 2020 Thread starter #9 racka98 said: Airtel Mastercard inapiga kazi kma kawa. Jarb kufungua account ya PayPal then tumia paypal kulipia. Kwenye paypal unaingia hyo card yako Click to expand... mkuu nashukuru sana umenipa ufumbuz mzuri itabid nifungue account ya PayPal
racka98 said: Airtel Mastercard inapiga kazi kma kawa. Jarb kufungua account ya PayPal then tumia paypal kulipia. Kwenye paypal unaingia hyo card yako Click to expand... mkuu nashukuru sana umenipa ufumbuz mzuri itabid nifungue account ya PayPal
racka98 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 1,042 Reaction score 1,547 Aug 12, 2020 #10 hjr said: mkuu nashukuru sana umenipa ufumbuz mzuri itabid nifungue account ya PayPal Click to expand... Yeah. Mm natumiaga paypal tu maana ni uhakika haiwezi gomewa kma site inakubal kulipa kwa paypal. Na wana convert kabisa kma website haisupport TZS
hjr said: mkuu nashukuru sana umenipa ufumbuz mzuri itabid nifungue account ya PayPal Click to expand... Yeah. Mm natumiaga paypal tu maana ni uhakika haiwezi gomewa kma site inakubal kulipa kwa paypal. Na wana convert kabisa kma website haisupport TZS