Hiyo miamala unafanya ya shilingi ngapi? Kuna wengine hiyo kumi wanafanya kwa siku tuMm wananipa jero wakati kwa week nafanya miamala Mara karbia 10 nimeshangaa sana.hawa jamaa ni kama msema kweli maana sio kwa uongo huo.
Mkuu hivi kwani hiyo faida ni mtandao husika ndo wanaamua kugawa faida kwa wateja wao au ni sheria wanatakiwa wafanye hivyo? Na kama wanagawa kwa hiyari huko kuibiwa kunatoka wapi? Na kuhusu kiasi unadhani wateja wa vodacom wako wangapi kiasi wakisema wagawe milioni 100 kila mtu apate laki? Then unaweza kudhani unafanya transactions kumbe unafanya vijitransaction tu.
Yaani mimi, nimepokea buku mbili tu. Halafu ili gawio linatolewa kila baada ya muda gani! Ni usanii mtupu wanaotufanyia.hatuna kampuni ya hovyo kama vodacom,
ni mwaka na kitu sasa, laini yao ninayo ila inaingia kwenue simu kwa nadra sana!
mwisho wataifunga!
Mbona povu linakutoka? Au wewe ndio uko kitengo hicho.Mkuu hivi kwani hiyo faida ni mtandao husika ndo wanaamua kugawa faida kwa wateja wao au ni sheria wanatakiwa wafanye hivyo? Na kama wanagawa kwa hiyari huko kuibiwa kunatoka wapi? Na kuhusu kiasi unadhani wateja wa vodacom wako wangapi kiasi wakisema wagawe milioni 100 kila mtu apate laki? Then unaweza kudhani unafanya transactions kumbe unafanya vijitransaction tu.
No..am just organising my thoughtsMbona povu linakutoka? Au wewe ndio uko kitengo hicho.
Dah noma xnnn[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Heri yako. Mwenzio nimepokea 1000.00 nilitoa macho nikaanza kuzihesabu zero kwa sindano. Nikidhani ni ka laki duuu kilinishuka shuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiasi tofauti tofautiHiyo miamala unafanya ya shilingi ngapi? Kuna wengine hiyo kumi wanafanya kwa siku tu
Nataka nikujibu lakini je unawadai?
peleka kesi mahakamaniUtawadai vipi wakati ni promise Yao ukitumia Mpesa at the end mnashare profit lakini wao ndio wanapanga. Wakiweka hesabu mezani tunawadai.
Mkuu hivi kwani hiyo faida ni mtandao husika ndo wanaamua kugawa faida kwa wateja wao au ni sheria wanatakiwa wafanye hivyo? Na kama wanagawa kwa hiyari huko kuibiwa kunatoka wapi? Na kuhusu kiasi unadhani wateja wa vodacom wako wangapi kiasi wakisema wagawe milioni 100 kila mtu apate laki? Then unaweza kudhani unafanya transactions kumbe unafanya vijitransaction tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nami nasubiriHeri yako. Mwenzio nimepokea 1000.00 nilitoa macho nikaanza kuzihesabu zero kwa sindano. Nikidhani ni ka laki duuu kilinishuka shuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]