Mpenzi ya sasa bwana!!!

Mpenzi ya sasa bwana!!!

Mkubwa Jalala

Senior Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
112
Reaction score
23
Boy: Hallow mpenz.
Girl: Hallow baby.
Boy: Naomba leo jioni uje home.
Girl: Sitoweza kuja kwakua leo tunaenda kwenye harusi ya dada.
Boy: Basi jitahidi uje kesho.
Girl: Samahani honey keshopia sitoweza nyumbani watakuja wageni.
Boy: Oky maana nilikuwa nimekununulia BlackBerry.
Giry: Waooo nitakuja hiyo jioni na leo nitalala hukohuko, mwamwamwaaaa.
Boy: Vipi kuhusu harusi?
Girl: Honey nilikuwa ninakutania tu.
Boy: Basi hata nami nilikuwa nakutania.
 
hahahhaaa...wote wawili manyonya kudadadeki..
 
Hapo unampiga chini kwani muongo
Bb ndio code ya IFM

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Boy: Hallow mpenz.
Girl: Hallow baby.
Boy: Naomba leo jioni uje home.
Girl: Sitoweza kuja kwakua leo tunaenda kwenye harusi ya dada.
Boy: Basi jitahidi uje kesho.
Girl: Samahani honey keshopia sitoweza nyumbani watakuja wageni.
Boy: Oky maana nilikuwa nimekununulia BlackBerry.
Giry: Waooo nitakuja hiyo jioni na leo nitalala hukohuko, mwamwamwaaaa.
Boy: Vipi kuhusu harusi?
Girl: Honey nilikuwa ninakutania tu.
Boy: Basi hata nami nilikuwa nakutania.

Ebwana safi
Umenikoshaaaaa
na hiyo smg
I waz sad bt am happy nw.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom