Mpenzi wangu sio rafiki

Mpenzi wangu sio rafiki

Imenibidi nicheke tu mkuu, ila hujanishauri kitu sasa
ushauri Wangu ni huu
Usimuache huyo binti,, ni mtoto nzuri ila tulia uijenge saikolojia yake kama kweli anakupenda atabadilika hakuna kinachoshindikana mbele ya upendo,,,,usisikilize mawazo mabaya ya kumuacha ,,,

Nakukumbusha kajitambulishe kwao toa mpunga kabisa oa ila tukikushauri mengine tusipokukumbusha ndoa itakua tunakuimiza uzinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee uaiombee upate mtu anaongea hamezi mate,anaongea kama chiriku,yaani wanaongea hana break. But upole wa kupitiliza nao tatizo. Unajihisi kama uko na msukule au uko peke ako
Afadhali na mkimya naweza kudeal nae lakini mpayukaji ataniharibia mood yangu..ukimya wa huyo Gf wake nahisi ana aibu sana na malezi ya getikali pia yamechangia..solution ni kumuendea kwa utaratibu tu mwisho atachangamka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For sure, buh ndo mana wanasema ts better ukapata mtu ambae mnaendana
Sawa,my point kwamba ni mrembo,anakupenda and she is loyal.
Utaweza pata mrembo,anakupiga mizinga everyday,she is ain't loyal..
Kipi kizuri?
Ila duh! Hii ngumu kumeza aisee..
 
Afadhali na mkimya naweza kudeal nae lakini mpayukaji ataniharibia mood yangu..ukimya wa huyo Gf wake nahisi ana aibu sana na malezi ya getikali pia yamechangia..solution ni kumuendea kwa utaratibu tu mwisho atachangamka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi simpendi mwanaume muongeaji sana,kuna dume nilimpotezea from jf wanaongea hamezi mate,over chiriku nikaona hili tatizo bahati nzuri alijua kuisoma akili angu...nikamwambia no can't move on with you.

May be. But miaka miwili no changes.. Are they still there anyway??
 
Je umeshawahi kukaa nae ukazungumza jambo linalo kukera ukiwa nae??? Kila mtu katika uhusiano humpenda mwenzi mwenye tabia Fulani, yeye amekupendea uongeaji wako kwasababu unamchangamsha.
BTW usiombe upate manzi mwenye gugu ndani (subwoofer) utachezeshwa visingeli mpaka ujute mkuu

Pilato 007
 
Mkuu nawe yalishakukuta nini,
Yameshanikuta mkuu, ki ukweli unachozungumza kina ukweli mtupu. Unapohitaji faraja hasa kwa jambo ambalo limekukwaza katika maisha ya kila siku huwa huipati toka kwa watu wa aina. Mwisho wa siku aidha ukubali uwe mwenyewe ujiliwaze (sijui ufanye nini?) Au utafute kampani ya nje kwa marafiki, ndugu au jamaa kwani kila unapofikiria kurudi kwake roho inazidi kusononeka kwamba haweza gundua hisia zako na akakufurahisha ingalau akutoe au akusahaulishe na matatizo. Ni changamoto kwa kweli.
 
Hata mimi simpendi mwanaume muongeaji sana,kuna dume nilimpotezea from jf wanaongea hamezi mate,over chiriku nikaona hili tatizo bahati nzuri alijua kuisoma akili angu...nikamwambia no can't move on with you.

May be. But miaka miwili no changes.. Are they still there anyway??
Ulimueleza kuwa unakerekwa na hilo au uliamua tu kumtosa kwa kufikiria ni impossible yeye kujirekebisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa,my point kwamba ni mrembo,anakupenda and she is loyal.
Utaweza pata mrembo,anakupiga mizinga everyday,she is ain't loyal..
Kipi kizuri?
Ila duh! Hii ngumu kumeza aisee..

Mmmh hii ngumu kumeza kweli, ila i wish ungevaa viatu vyangu ufeel the same way atleast ungeelewa ninavyofeel, kwa huo mfano wako bora nibaki nilipo ila daaah‍♂️
 
Hata mimi simpendi mwanaume muongeaji sana,kuna dume nilimpotezea from jf wanaongea hamezi mate,over chiriku nikaona hili tatizo bahati nzuri alijua kuisoma akili angu...nikamwambia no can't move on with you.

May be. But miaka miwili no changes.. Are they still there anyway??

Duuuh mkuu umeniacha hoi na huyo chiriku wako hehehe.
 
Yaani mtu ukiwa muongeaji sana unakera,ukiwa mpole sana pia inakera.

We can profit from the parrots though if they at least speak senses, but stupidity, gossips, that one i am sorry sister you may sell it to the bloggers.
 
Back
Top Bottom