Mpenzi wangu sio rafiki

Mpenzi wangu sio rafiki

Huyu msichana bwana kutokana na malezi na maisha aliyopitia hakuweza kuchangamana sana na watoto wakiume (wanaume) kwahiyo bora mimi kuliko hao wanaume waliokuwa wakimzunguka kuanzia chuo mbaka kwenye mishughuliko yake ndo hanaga habari nao kabisa, kwa upande wa wasichana wenzake nikiwauliza wanasema wakiwa pamoja ni talkative..,sasa nashindwa kuelewa hapo

If you want to make it work, both you and your girlfriend need to understand each other, treasure the ways you're different as well as they ways you're alike.

Mpe mda atabadilika and don't put pressure on her otherwise she will not loosen up as fast as you want her to....
All the Best.
 
If you want to make it work, both you and your girlfriend need to understand each, treasure the ways you're different as well as they ways you're alike.

Mpe mda atabadilika and don't put pressure on her otherwise she will not loosen up as fast as you want her to....
All the Best.

Be blessed mkuu, ushauri mzuri sana though kiuhalisia kuna ugumu sana
 
Be blessed mkuu, ushauri mzuri sana though kiuhalisia kuna ugumu sana
Oyooo mvumulie bwana....
Basi jaribu kutoka naye outing, halafu na wewe usimsemeshe kama kawaida yako....bakia kimya, unaweza kumshika mkono ukichezea vidole vyake au Mguu.
Iwapo ataonyesha kuna utofauti kutoka kwako. .
let her know you love being with her without expectations of conversation...but you would like to hear more from her sometimes.
 
Mbona siku zikinipanda huwa tunatazamana tu chumbani.
 
We ngoja ukutane na kina asha ngedere ndio utaipata freshi though unaboreka ila kuwa mvumilivu. Kuna aina ya wanawake huwa wana aibu sana wakiwa na wanaume mwanzoni mpaka wakikuzoea sana.

Hata GF wangu alikuwaga mtu wa hivyo nikawa naboreka nikiongea nae kwa simu majibu kama "mi sina usemi", "poa tu" ila im a talkative kind of guy ilifika mahali akafunguka tu akawa yupo relaxed kunipa stories zake za siku nzima ndipo nikaanza enjoy.

Muhimu jenga tabia ya kumtania sometimes, kucheza nae pia usiwe serious sana adi akakuogopa, pia unapoongea nae muulize open ended questions (maswali yatayomfanya afikiri na ajielezee zaidi na sio yale atakayojibu ndio au hapana)
 
We ngoja ukutane na kina asha ngedere ndio utaipata freshi though unaboreka ila kuwa mvumilivu. Kuna aina ya wanawake huwa wana aibu sana wakiwa na wanaume mwanzoni mpaka wakikuzoea sana.

Hata GF wangu alikuwaga mtu wa hivyo nikawa naboreka nikiongea nae kwa simu majibu kama "mi sina usemi", "poa tu" ila im a talkative kind of guy ilifika mahali akafunguka tu akawa yupo relaxed kunipa stories zake za siku nzima ndipo nikaanza enjoy.

Muhimu jenga tabia ya kumtania sometimes, kucheza nae pia usiwe serious sana adi akakuogopa!

Nafurahi kuona ushawahi kuexperience the same problm ili uone inavyokuwa inabore, na lengo langu sio kubreak up, buh serious bro 2 yrs in a relationship the girl ameshindwa kucop?, i'm nat sure kama your GF alitumia mda mrefu namna hii, but all in all thnks kwa ushauri wako mkuu.
 
Lakini sasa mkuu kwa namna hiyo itawezekana kweli kufikia relationship goals, unajua mbaka inafikia kipindi mtu unafurahi kukaa na msichana ambae sio wako kuliko wako ni hatari hii.

Relationship goals zako ni zipi mkuu? Kabla hujajibu pengine jiulize wewe priorities/vipaumbele vyako vikubwa kwenye sifa ya mwanamke ni vipi halafu angalia Kama kuwa muongeaji ni sifa iliyopo kwenye top 3.

By the way hivi kuwa muongeaji ndio kuna maanisha mwenzi wako ni rafiki eeeh!!

"Ukitaka kujua umuhimu wa mtu subiri mkiachana"
 
Nadhani kama umesoma vizuri uzi wangu mkuu utagundua sijazungumza swala la uongeaji as uongeaji , nilichozungumza ni lile swala la kufurahia uhusiano, for me ts among of my goal , kama hamna furaha ndani ya uhusiano kwangu mimi thamani ya penzi inapungua, furaha ninayozungumzia hapa inatokana na ukaribu na urafiki uliopo kati ya wapenzi, for me sex and loyalty aint the only things ambazo zitanipa furaha kwenye uhusiano bali uhusiano wa kimapenzi unapaswa uwe zaidi ya sex.

Nimezungumzia ile hali ya ukaribu na urafiki, muwe mnafahamiana kiundani, mwenzio asipokuwa sawa uwe na uwezo wa kugundua pasipo kuambiwa na ikiwezekana ujue jinsi ya kumfanya awe normal, enjoyment kwenye mapenzi inavitu vingi sana my brother na ndio mana mtu anauwezo wa kukaa na mke wake ambae wewe unaona kero kwa tabia ya uropokaji kumbe jamaa kuna vitu vingi anafurahia.

By the way nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri mkuu.
 
Ndo tukubaliane kuwa binaadam maumbile yetu yanatifautiana..ni heri yake kupata mkimya kuliko mropokaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee uaiombee upate mtu anaongea hamezi mate,anaongea kama chiriku,yaani wanaongea hana break. But upole wa kupitiliza nao tatizo. Unajihisi kama uko na msukule au uko peke ako
 
Back
Top Bottom