Mpenzi wangu sio rafiki

Chatter box
 
Mla Bata hayo machungu hata mimi yalinikuta. Unaweza ukaongea weee yeye anakutolea mimacho tuu.. Au unamchekesha anaishia kuonesha meno..

Ila kwasasa naenda nae sawa!!
Umenikumbusha ile nyimbo ya Z-Anto yule binti kiziwi...hahahahahah anacheka cheka na kutikisa kichwa tu haongei. Ila ni mrembo vibaya mno
 
Ila sio siri mi naona mwanamke kuwa mpole is sexy, kuliko wale waongeaji wenye mashoga kila kona kutwa umbea tu kwenye social networks au nyumbani.

Given that mwanamke ananiskiliza na kuniheshimu, yupo loyal sio malaya,yupo romantic and she is getting nasty with me whenever i want her...i will care less of the other traits.
 
Huwezi kupata binadamu perfect ni tatizo dogo sana hilo, watu wana mizigo na wanaivumilia
 
Mla bata naomba kujua umempata wapi uyo dada maana na mim namtafuta san mpenz mpole mweny sifa kam huyo unaemchoka ndgu yngu.

Ushaur wngu, huyo ni almasi mchangan ndgu usikubali mpoteza, si ajabu ata ulimkuta bkira, ukimuacha utakuw ujamsaidi wala kupata solution yako mkuu. Wew mpende tu kw manufaa yenu wote kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…