pirates lil
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 958
- 915
Pochi ndo inapendw pole but chunguza kabla ya maamuzi all the best[emoji126] [emoji108]
NIna jamaa yangu alikuwa ameowa, mke alikuwa anasafiri kwenda kwao,,,, Akienda huko anakaa muda mrefuuu...!!!! kumbe alikuwa ameolewa huku na huko...Nina mpenzi wangu ambaye anasoma chuo hapa mjini
Niseme tu kuwa mimi ndo namuweka hapa mjini kwa asilimia kubwa maana mzazi wake hapa karibuni kayumba kidogo na huyu binti hana mkopo ivyo anajitegemea kwa kila kitu
Kwa asilimia flan naamin ananipenda na ananiheshimu but ni only anapokuwa dar
Cha ajabu akienda kwao Moshi anakata mawasiliano mpaka akirudi ndo anarudi hewani na sio kwamba kwao hakuna mawasiliano hapana yapo
Ndugu zake kadhaa wananijua na wanajua uhusiano wetu kutokana na navyobeba majukumu yake
Tatizo lilianza dec alienda kwao akazima simu mpaka aliporud nikasamehe
Sasa imejirudia tena kaenda kwao kwa siku chache kwenye sherehe ila hapatikani tena
Nashindwa nichukue maamuzi gani akirudi! Angekuwa mtu mzima labda ningesema ana mme huko kaolewa ila hapana maana bado nikadogo
Wachaga nisaidieni huko kwenu kunanini mpaka mtu azime simu?
Ndo mimiSio wewe uliepoteza hamu na mkeo? Au nimechanganya madesa
HahahahahahaNina kademu ka chuo kako kwangu.isije kuwa ndo kenyewe.Kamenambia kwasasa hakana cm
Unauliza majibu wakati majibu unayo? Huyo binti hakupendi kabisa na ana mahusiano mengine na huenda hata hayuko Moshi. Ukweli kama mtu anakupenda hata akose charger ya simu atatafuta kwa rafiki simu ili akupigie kukujilisha yaliyompata. Kwa misingi hii hawezi hata dakika moja aka kumiss. Kwa ufupi kama una mtu wako ambaye mna mapenzi ya kweli kwa siku angalao akutafute mara tatu na kuendelea. japo basi hata mara mbili asubuhi na jioni kabl hamjalala ni lazima muwasiliane kujua yaliyojiri siku nzima. Anza mapema kabla hujaletewa HIV kama bado huna.