Mpenzi wangu simwelewi

Mpenzi wangu simwelewi

Nina mpenzi wangu ambaye anasoma chuo hapa mjini

Niseme tu kuwa mimi ndo namuweka hapa mjini kwa asilimia kubwa maana mzazi wake hapa karibuni kayumba kidogo na huyu binti hana mkopo ivyo anajitegemea kwa kila kitu

Kwa asilimia flan naamin ananipenda na ananiheshimu but ni only anapokuwa dar

Cha ajabu akienda kwao Moshi anakata mawasiliano mpaka akirudi ndo anarudi hewani na sio kwamba kwao hakuna mawasiliano hapana yapo

Ndugu zake kadhaa wananijua na wanajua uhusiano wetu kutokana na navyobeba majukumu yake

Tatizo lilianza dec alienda kwao akazima simu mpaka aliporud nikasamehe

Sasa imejirudia tena kaenda kwao kwa siku chache kwenye sherehe ila hapatikani tena

Nashindwa nichukue maamuzi gani akirudi! Angekuwa mtu mzima labda ningesema ana mme huko kaolewa ila hapana maana bado nikadogo

Wachaga nisaidieni huko kwenu kunanini mpaka mtu azime simu?
Hao wadogo ndio wabaya, wana mambo makubwa hata hao wakubwa hawayamudu. We chukulia unatoa sadaka tu kuhudumia na fadhila unazipata akiwa dar. Akiwa moshi kuna mwingine analipwa fadhila kwa ya anayoyafanya huko. Kubali wewe ni wa dar tu maana wa moshi nae hampati kwenye simu akiwa dar. Mambo kwa zam zam.
 
Et kadogo ahhaah wenzio wanakula maembe mabichi na chumvi we unasubiri hadi liive
 
Nina mpenzi wangu ambaye anasoma chuo hapa mjini

Niseme tu kuwa mimi ndo namuweka hapa mjini kwa asilimia kubwa maana mzazi wake hapa karibuni kayumba kidogo na huyu binti hana mkopo ivyo anajitegemea kwa kila kitu

Kwa asilimia flan naamin ananipenda na ananiheshimu but ni only anapokuwa dar

Cha ajabu akienda kwao Moshi anakata mawasiliano mpaka akirudi ndo anarudi hewani na sio kwamba kwao hakuna mawasiliano hapana yapo

Ndugu zake kadhaa wananijua na wanajua uhusiano wetu kutokana na navyobeba majukumu yake

Tatizo lilianza dec alienda kwao akazima simu mpaka aliporud nikasamehe

Sasa imejirudia tena kaenda kwao kwa siku chache kwenye sherehe ila hapatikani tena

Nashindwa nichukue maamuzi gani akirudi! Angekuwa mtu mzima labda ningesema ana mme huko kaolewa ila hapana maana bado nikadogo

Wachaga nisaidieni huko kwenu kunanini mpaka mtu azime simu?
eti bado nikadogo..we ulimpataje..eti baba yenu..baba gani hata masuala madogo kama hayo unauliza wanao???sio bure utakuwa wa Dar wewe
 
Nani amekwambia umsomeshe mwenza wako???hiyo kazi ya baba na mama ake acha ujinga huo,na hapo hakuna demu suala hilo haliitaji shahada ya chuo kikuu ili ulichanganue...chukua hatua vinginevyo utakuja juta
 
Vitu vngine havihitaji maelezo ya ziada, watu wanasema mchumba/mpenzi hasomeshwi utakuja kufa bure, kusoma hujui hata picha huoni? Mmh subiri kilio
 
Nina mpenzi wangu ambaye anasoma chuo hapa mjini

Niseme tu kuwa mimi ndo namuweka hapa mjini kwa asilimia kubwa maana mzazi wake hapa karibuni kayumba kidogo na huyu binti hana mkopo ivyo anajitegemea kwa kila kitu

Kwa asilimia flan naamin ananipenda na ananiheshimu but ni only anapokuwa dar

Cha ajabu akienda kwao Moshi anakata mawasiliano mpaka akirudi ndo anarudi hewani na sio kwamba kwao hakuna mawasiliano hapana yapo

Ndugu zake kadhaa wananijua na wanajua uhusiano wetu kutokana na navyobeba majukumu yake

Tatizo lilianza dec alienda kwao akazima simu mpaka aliporud nikasamehe

Sasa imejirudia tena kaenda kwao kwa siku chache kwenye sherehe ila hapatikani tena

Nashindwa nichukue maamuzi gani akirudi! Angekuwa mtu mzima labda ningesema ana mme huko kaolewa ila hapana maana bado nikadogo

Wachaga nisaidieni huko kwenu kunanini mpaka mtu azime simu?
Nina kademu ka chuo kako kwangu.isije kuwa ndo kenyewe.Kamenambia kwasasa hakana cm
 
Kupenda mtu asiyekupenda ni Sawa na kusubiri meli ubungo kazana kushangaa atarudi na mimba then uje kuomba ushauri kuwa mimba ni ya nan,
Ww ni mtu mzima lkn naona unafeli kusoma hujui na picha nazo huelewi?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
kama nimekuelewa inawezeksna huko ndiko aliko uvungu wa moyo wake

Yuuuup....kwa kiasi kikubwa inaonekana huo ndio ukweli. Hataki tu kumpoteza huyu jamaa yetu hapa kwa sasa labda kwasababu bado anahitaji msaada wake
 
Et kadogo ahhaah wenzio wanakula maembe mabichi na chumvi we unasubiri hadi liive

Ha ha ha haaaah
Sio wewe uliepoteza hamu na mkeo? Au nimechanganya madesa

Acha uchokozi wewe mdada....mwenzio ameshajichanganya mpaka sasa hivi. Muache kwanza amalize haya majonzi mapya kwanza ndo umkalishe kitimoto kingine. Sana sana wee msaidie tu kama una jinsi ya kumsaidia ili amsahau yule aliyeko safarini "Moshi ya Dar". Ha ha haaah
 
Mkuu yani hapo usichoelewa ni nini!! Huyo akiwa dar anakutafuta kwa sababu anajua utamsaidia mambo yake akiwa nnje ya dar wewe huna msaada tena kwake. Kama kweli anakuoenda asingefanya hivyo anavyokufanyia. Cha msingi wewe achana nae,wanawake wapo wengi tu. Utampata atakaekupenda kwa dhati. Kulazimisha mapenzi ni hatari sana bro. Jiongeze otherwise utalialia kila siku kumbe kuna watu wanajilia mambo taratiibu. Never trust on girls.
 
Huyo ana wake anae mpenda,
Wewe unatumika kama ATM.

My side is Done [emoji135] [emoji135]
 
Na wewe zima mawasiliano yote na usimtafute anaporudi. Huyo anakufanyia makusudi akijua hufurukuti kwake la sivyo angekuwa amejieleza kwako kitambo sana.
 
Daah ukiendelea hivi hata ukioa si ajabu utaletewa mwanaume mwenzako ndani, kusoma hujui hata picha huioni!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom