Mpenzi wangu nimpendae ni "lesbian". Je, nimuache?

BILLION

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
64
Reaction score
34
Wana MMU,

Dunia yetu kwa sasa imepata mabadiliko makubwa sana, kiasi cha kusababisha tamaduni na desturi zetu kuathiriwa na mabadiliko hayo.

Ingawa ni maeneo mengi yameathirika kutokana na athari za kiutandawazi, lakini kwenye hii mada ningependa kuzungumzia hawa wanawake "wasagaji" au "lesbian".

Binafsi ni miongoni mwa waathirika wa hayo mabadiliko ya kiutandawazi, kwa kuwa binti ambae nimempenda kwa kipindi cha hivi karibuni ndio michezo yake hiyo (usagaji), hivyo katika mahusiano yetu hapo awali, hali ilikuwa ngumu sana maana hata siku moja HAKUPENDA tuongelee mambo ya ngono (ingawa tayari ameni-sign in).

Licha ya hivyo, mara kwa mara amekuwa akizungumzia sana mabinti wenzake wakati wa mazungumzo yetu, ingawa nimekuwa nikijitahidi sana kumtoa kwenye mazungumzo hayo, ila yeye amekuwa akilazimisha tujadili mambo ya aina hiyo, hali iliyonipelekea nikawaulize hao rafiki zake kuhusu hali halisi ya mpenzi wangu. Majibu yalikuwa kama ambavyo nilitarajia (kuwa demu wangu ni lesbian).

Aidha, ikitokea nimetoka nae "out" kula nae raha kwenye maeneo ya starehe, kila aonapo rafiki zake ni lazima awatathmini kwa ukaribu mpaka watu walioko karibu yake wanatambua ni nini anafanya, mara nyingine uenda mbali zaidi mpaka kugusa wenzake maeneo ya makalio kwa kuwachapa kofi.

Sasa ndugu zangu wana MMU katika hali kama hii, jembe nifanye nini?, maana kiukweli ni fedheha kuwa na binti anaetamani wanawake wenzake ingawa nampenda, nifanye nini katika hali kama hii?
 
sawa,lkn kwan yy ndo msichana peke ake?wako wazur km yy lakn sio wasagaj.unaonaje umtafte m1 wapo kat ya hao? uepuke...
 
jaribu kila njia mpaka umguse ndipo uachane nae....hapo roho haitauma sana...
 
BILLION,

Pole kwa tatizo lako, lakini bado kuna kuwa na maswali/mashaka fulani katika maelezo yako..

Ni kwa muda gani mko pamoja? Ni nini malengo ya mahusiano yenu?

Je yeye (mpenzi wako) ulimuuliza kuhusu hilo? Msimamo wake au mpango wake ni nini?

Katika maelezo yako, umesema marafiki walikueleza " , LILE ULILOTARAJIA" wakati fulani, mtu aweza kuambiwa kile atakacho, na si ukweli halisi,

Jaribu kuongea nae, angalia msimamo na mtazamo wake juu ya mlengo wake wa kimapenzi (Sexual orientation), kisha fanya maamuzi.Kuna wakati fulani rafiki alidhani mke wake ni wa aina hiyo kuja kugundua alikuwa akifanya research fulani(ambayo aliona fedheha kumweleza mumewe).Ongea naye, fanyeni maamuzi.
 
Last edited by a moderator:
Muache........aendelee kucheza na dildo

dushelele originally atuachie sie mbona watumiaji tuko kibao..........
 
BILLION,

Pole kwa tatizo lako, lakini bado kuna kuwa na maswali/mashaka fulani katika maelezo yako..

Ni kwa muda gani mko pamoja? Ni nini malengo ya mahusiano yenu?

Je yeye (mpenzi wako) ulimuuliza kuhusu hilo? Msimamo wake au mpango wake ni nini?

Katika maelezo yako, umesema marafiki walikueleza " , LILE ULILOTARAJIA" wakati fulani, mtu aweza kuambiwa kile atakacho, na si ukweli halisi,

Jaribu kuongea nae, angalia msimamo na mtazamo wake juu ya mlengo wake wa kimapenzi (Sexual orientation), kisha fanya maamuzi.Kuna wakati fulani rafiki alidhani mke wake ni wa aina hiyo kuja kugundua alikuwa akifanya research fulani(ambayo aliona fedheha kumweleza mumewe).Ongea naye, fanyeni maamuzi.

Mkuu,

kwenye mahusiano hatuna muda sana, ingawa nimekuwa nikimfahamu kwa muda kidogo, ila sikuwahi kugundua kama ana tabia za kupendezwa sana na wanawake wenzake.

Kuhusu malengo, kiukweli nilikuwa nimepanga nimfanye wangu wa maisha, ila baada ya kugundua hii tabia nimepoteza mipango yote. Ila pia nadhani kuna haja ya kuufanyia kazi ushauri wako. Nadhani kuna haja ya kumueleza kuhusu hisia zangu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kama amezoea kuvaa dildo na kuwafanye wenzake na wewe jiandae siku akupake KY apite na dildo manake jasiri haachi asili.
 
Ulipomuona ukamtamani, kisha ukamsogelea, ukajenga hisia za kuanza kumpenda, na akakufungulia milango umpende, sasa umegundua ni lesbian.

Jiepushe, chukua hatua.
 
Wana MMU,

Dunia yetu kwa sasa imepata mabadiliko makubwa sana, kiasi cha kusababisha tamaduni na desturi zetu kuathiriwa na mabadiliko hayo.

Ingawa ni maeneo mengi yameathirika kutokana na athari za kiutandawazi, lakini kwenye hii mada ningependa kuzungumzia hawa wanawake "wasagaji" au "lesbian".

Binafsi ni miongoni mwa waathirika wa hayo mabadiliko ya kiutandawazi, kwa kuwa binti ambae nimempenda kwa kipindi cha hivi karibuni ndio michezo yake hiyo (usagaji), hivyo katika mahusiano yetu hapo awali, hali ilikuwa ngumu sana maana hata siku moja HAKUPENDA tuongelee mambo ya ngono (ingawa tayari ameni-sign in).

Licha ya hivyo, mara kwa mara amekuwa akizungumzia sana mabinti wenzake wakati wa mazungumzo yetu, ingawa nimekuwa nikijitahidi sana kumtoa kwenye mazungumzo hayo, ila yeye amekuwa akilazimisha tujadili mambo ya aina hiyo, hali iliyonipelekea nikawaulize hao rafiki zake kuhusu hali halisi ya mpenzi wangu. Majibu yalikuwa kama ambavyo nilitarajia (kuwa demu wangu ni lesbian).

Aidha, ikitokea nimetoka nae "out" kula nae raha kwenye maeneo ya starehe, kila aonapo rafiki zake ni lazima awatathmini kwa ukaribu mpaka watu walioko karibu yake wanatambua ni nini anafanya, mara nyingine uenda mbali zaidi mpaka kugusa wenzake maeneo ya makalio kwa kuwachapa kofi.

Sasa ndugu zangu wana MMU katika hali kama hii, jembe nifanye nini?, maana kiukweli ni fedheha kuwa na binti anaetamani wanawake wenzake ingawa nampenda, nifanye nini katika hali kama hii?
Nakushauri uachane nae kwasababu watu wa aina hio hawafurahii mgegedo kabisa wanakuwa hawana hisia na wanaume yaani utakuwa kama UNATWANGA MAJI KATIKA KINU..
Na ukiendelea kuwa nae inabidi ukubali kwamba atawathamini wanawake zaidi kuliko wewe which is a very bad thing..KUBALI MATOKEO KAKA,HAKUFAI...
 
...unamuuliza nani,wakati unamchagua ulikuja kutuuliza ...!?
 
BILLION, Kuna baadhi yao huja kubadilika na wengine huwa hawabadiliki kabisa. Kuendelea naye ni kucheza pata potea! Imagine umemuweka ndani na yeye hana hamu na wewe wakati wewe unamhitaji, si utaishia kupata frustration? Au kutafuta nyumba ndogo? Ya nini yote hayo? Ni bora kuchukua hatua mapema na kumuacha aendelee na hiyo michezo yake!
 
Last edited by a moderator:
Dude huitaji ushauri katika hilo.... upo kwenye mahusiano na mwanaume mwenzio.
 
Jamani hawa watu wanaweza kubadilika kuna rafiki yangu mmoja alikuwa hivyo siku za nyuma ila saiz naona anabadilika atleast she became a lady,
 
Back
Top Bottom