Mpenzi wangu ni mbinafsi sana

Mpenzi wangu ni mbinafsi sana

Hata kama anakupima sio kiivo. Kwa haraka haraka naona kuna hatari apo.
 
Baba achana naee huyoo Kuna mtu anakula naee hizo pesa... kakuona wewe falaaa...! Yani una pesa alafu manzi anakukazia kwenye shida na yeye pesa anayo... Haa ha ha aisee wee jamaa una utani! PIGAA CHINIII..afu humwambii kimya kimya.. msg hujibu. Ila inaonekanaa umekufa umeozaa kwakee hilo ndo tatzo
 
Habari wanajamii forum.

Ubinafsi ni tabia ya mtu wala hauna jinsia. Kuna watu ambayo wanadhani kuwa wao wanatakiwa kupewa tu na siyo kutoa hata kwa kitu kidogo. Hivyo wapo hata wanaume ambao ni wagumu kutoa hata mahitaji ambayo ni ya lazima. Hivyo huyo mpenzi wako ni mbinafsi usitegemee kuwa atabadilika hata kidogo.

Kama utaamua kumuoa ujue huyo hatakuwa na support yoyote kwako zaidi ya kudhani kuwa yeye anatakiwa kupokea tu. Hivyo za kuambiwa ongeza na zako.
 
Back
Top Bottom