Mpenzi wangu ni mbinafsi sana

Facts
 
lnavyoonekana hamna ushirikiano wa kimaisha Ila MNA uhusiano wa kimapenzi, kama ndivyo, basi kwanza anzakumshirikisha kwenye uendeshaji wa maisha yenu, hilo litamfanya ajiamini na kujiona anahusika na maisha yako. Lakini iwapo hatapenda ushirikiano basi atakua hana mpango wa kuishi na wewe, na wala si mbinafsi kama unavyofikiria.
 
Thanks mkuu....nashukuru
Ukiweza suka mpango wa kumpima.Ujifanye umefulia na huduma zote ukate na umwombe hela ndogo ndogo max 50k kwa ajili ya matibabu n.k.Hata akija nyumbani aone kweli mambo magumu, kama ni friji ni tupu n.k

Mpime uone atareact vipi.
 
Kweli dada.
 
Harafu ajue kabiza kuwa yuko pekee yake maana siku akipata shida au tatizo la ghafla asitegemee msaada
Ndio hivyo nivizuri tunapoishi tujue tunaishi nawatu waaina gani ili tuishi kwatahadhari
 
Yaani cjui kwann mke wangu nae haka katabia kabaya kanmnyemelea hasa akishakua na wasiwasi na ww yaani akishika sms za michepuko ni shida sana
 
Hii ni nature ya wanawake karibie wote ni wachache sana wamenusurika na hii tabia amini nakuambia
Hongera naona ww ubebahatika kunusurika na hii tabia mbaya ambayo wanaume wote hatuipendi hata kidogo
 
NAYAHESHIMU MAPENZI ILA KWA HILI NIMESHANGAA HATA MUDA WA KUOMBA USHAURI UMEPATA WAPI

KWAKO ANAKUFANYIA HIVYO, JE MAMA YAKO?

HUYO NI WA KUPIGA MIKITO TU NS KUMSANUA APAMBANE NA UFALA WAKE

NA KWA KUANZIA LEO NI MARUFUKU KUMNUNULIA HATA CHUPI

BABEQ! NIMEMMAINDI KIKUKU YANI
 
Mimi nawapongeza ,uchumba miaka 4,hongerani
 
Mkuu tafuta hela, halafu siku hizi msamiati wa kumgharamia mwanamke haupo... ni ujinga uliopitiliza. wewe unatafuta wauzaji sio mpenzi. Sasa leo laki 2 tu analalamika wakati manzi kama anakupenda anaweza hata kujiuza ili man wake utoke, sasa kesho ukapata maradhi na huponi hadi ipatikane 2M atatoa huyo?
 
Ukiweza suka mpango wa kumpima.Ujifanye umefulia na huduma zote ukate na umwombe hela ndogo ndogo max 50k kwa ajili ya matibabu n.k.Hata akija nyumbani aone kweli mambo magumu, kama ni friji ni tupu n.k

Mpime uone atareact vipi.
Hii idea nzuri sana uweze kumwelewa
 
Hahahaahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…