Tulia tuli jifanye hujui, mkamatishe mdogo wako ugoni kupitia mke wa hilio jamaa! au km halijaoa tafuta mchepuko wake huyo mzee, uelezee jinsi anavyo jinsi jamaa anavo gawa uroda, wanaume hawana mke mmoja! akisha kamatwa ugoni wazi, ndiyo umpe vipande vyake!
Huyo dogo tayari ameharibu ukoo wake. Laana hiyo.....kwa sababu mke wa kaka yako! Mukubwa ni sawa na mke wa Baba yako.....dogo katembea na mamake huyo...makubwa yatamkuta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.