Mpenzi wangu nahisi anatoka na mdogo wangu, nimeumia sana. Nashindwa kumuuliza mdogo wangu

Hauna AKILIII...Hatoki na mdogo wako ila anamgongaa kuonesha nyie familia yenu umalayaaa jambo la kawaidaa na ulivyomjinga unakaa kimyaaa???? Una matatizo aiseee familia yenu ya ovyooo sanaa...
Duh, asante lakini
 
Nashukuru, ila japo hapo pa kusema “najua unatembea naye” ndio nilitaka kumkamata na vizibitisho vizuri, maana najua hawezi kubali hivi hivi na anajua anachofanya sio sawa so hawezi kukubali yaani. Ningemkamata hapo sasa ndio nafata huo ushauri wako sasa wa kumwambia tukapime ......

Asante
Kwa hiyo mpaka uhakikishe kuwa mdogo wako analiwa na jamaa aliyekuwa anakutifua nyuma? Ndo utamkanya mdogo wako?
 
Mwambie ukweli ila uwe tayari kwa litakalotokea baada ya kumjuza ukweli, pole sana mkuu ila liwalo na liwe usiogope undugu kuvunjika hakuna mwenye uwezo wa kuuvunja undugu wa damu kamwe hata mkataane vipi nyie ni ndugu tu damu ilishaandika hilo, kwahiyo ondoa hofu na umueleze mdogo wako kila kitu ajue then umpe ushauri kama dada yake.
Baada ya hapo mpe uhuru wa kufanya maamuzi pia (hapa atajiona mjinga kama hutotumia hasira na kigezo cha ukubwa wako kwake) kwakuwa atakuwa ameshajua umejua yanayoendelea atakachoamua yeye muache wala usimfatilie tena utakuwa ushatekeleza wajibu wako kama dada kumrekebisha mdogo wako. Response ya mdogo wako itaonesha mwelekeo wa undugu wenu ila uwe tayari kwa lolote ndio maisha.

Nb: usiwafatilie tena utazidi kuumia jitahidi kuacha kuwafatilia itakusaidia sana wewe.
Nashukuru mkuu, ni ngumu ila wacha nijitahidi nifanye
 
Kwa hiyo mpaka uhakikishe kuwa mdogo wako analiwa na jamaa aliyekuwa anakutifua nyuma? Ndo utamkanya mdogo wako?
Nilikuwa nawazia hivyo mkuu, ila naona ntashindwa. Wacha nitaongea naye tu huku nikijifanya nina uhakika kabisa. Liwalo na liwe
 
Namba ya hilo libaba ninayo na namba ya mdogo wangu pia. Kwenda huko sio gharama? Watanielewa tu? Kama yupo humu na anasoma basi mwache tu asome tu, ila atanikumbuka maisha yake yote.
Atakukumbuka wewe umekuwa Mungu???

Mkalishe chini mdogo wako mwambie ukweli. Au mtumie meseji zimfikie huko huko chuo!

Ukishamchana tu dogo, utapata amani.
 
i wish ningeuona huo uzi wako wa mwanzo kuhusu wewe na huyo baba ili nipate clear picture, ila huitaji ushahidi zaidi kujua kwamba mdogo wako anatembea na huyo baba, the fact kwamba uliona msg alafu ulipomuuliza kama wanawasiliana akakwambia hajawahi kuwasiliana nae ni jibu tosha. Cha msingi ni kumwambia kwamba umehisi yuko na huyo mtu kutokana n yy kukudanganya kuhusu kuwasiliani kwao then umkanye akisikia au asiposikia hayo yatakuwa yake, manake katika hali ya kawaida ndugu tena wa tumbo moja hamuwezi kushea mwanaume katika hali yoyote ile, ni uchafu na ni aibu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hauna AKILIII...Hatoki na mdogo wako ila anamgongaa kuonesha nyie familia yenu umalayaaa jambo la kawaidaa na ulivyomjinga unakaa kimyaaa???? Una matatizo aiseee familia yenu ya ovyooo sanaa...
Point!
 
Atakukumbuka wewe umekuwa Mungu???

Mkalishe chini mdogo wako mwambie ukweli. Au mtumie meseji zimfikie huko huko chuo!

Ukishamchana tu dogo, utapata amani.
Najua atanikumbuka tu huyo baba, nina uhakika mkuu sio lazima niwe Mungu wala

huyu mdogo wangu sitapiga simu wala nini, atakuja tu hata hii weekend, najipanga kumpa maneno yake hata ikibidi kupiga kwanza mvinyo kabla sijakabiliana naye. Atajuta yaani
 
i wish ningeuona huo uzi wako wa mwanzo kuhusu wewe na huyo baba ili nipate clear picture, ila huitaji ushahidi zaidi kujua kwamba mdogo wako anatembea na huyo baba, the fact kwamba uliona msg alafu ulipomuuliza kama wanawasiliana akakwambia hajawahi kuwasiliana nae ni jibu tosha. Cha msingi ni kumwambia kwamba umehisi yuko na huyo mtu kutokana n yy kukudanganya kuhusu kuwasiliani kwao then umkanye akisikia au asiposikia hayo yatakuwa yake, manake katika hali ya kawaida ndugu tena wa tumbo moja hamuwezi kushea mwanaume katika hali yoyote ile, ni uchafu na ni aibu
Ndio maana nataka niongee naye live na sio kwa simu, nina hakika hata akijafanya kukataa ila nitamsoma tu usoni wakati kuongea
 
Najua atanikumbuka tu huyo baba, nina uhakika mkuu sio lazima niwe Mungu wala

huyu mdogo wangu sitapiga simu wala nini, atakuja tu hata hii weekend, najipanga kumpa maneno yake hata ikibidi kupiga kwanza mvinyo kabla sijakabiliana naye. Atajuta yaani
Hapa umeongea point. Ukishamchana tu. Utapata amani. Hata kama wataendelea ila roho itakuwa inamuuma kuwa yeye ni "mdangaji mviziaji", anasubiri watu waachane achukue!
 
Ndugu zangu kama nilivyokuja kipindi kile na malalamiko yule bwana angu jamani baada ya ushauri wa hapa kweli nilijihidi kumuacha yule bwana maana nilichoka pia aisee, japo haikuwa rahisi

Sasa basi baada ya kuachana naye ( ila bado ananitafuta mi ndio namchunia) hivi juzi mdogo wangu amekuja kutoka mkoani ili arudi chuo hapa Dar, basi katika tu kushika simu yake akiwa amenipa niangalie kitu kingine WhatsApp ndio nikaona msg.

Msg kama; Umekula shem? Niambie chochote ntakusaidia tu. Ndio natoka, tukutane pale Sinza (muda ya 5 hivi). Yaani msg tofauti tofauti na inaonesha wanaongea kwa muda mrefu tu.

Jamani Muda hiyo mdogo wangu wanakutana kufanya nini? Imeniuma sana yanii, Naogopa kumuuliza mdogo wangu sijui kama atanielewa yaani.

Basi juzi nikamuuliza mdogo wangu fulani amekutafuta? Mdogo wangu akasema hapana Na hajawahi kabisa. Mhhhh!!!! Nikaogopa kusema chochote

Sasa hapa nawaza Nimwambie msg nilizoona au nami niuchune? Roho inauma. Aisee sitaki hata kuwaza yaani yule baba aje kutembea na mdogo wangu? Kweli? Anawezaje jamani?

Duh Inaniuma sana sana, sitaki hata kuwazia yaani japo napata mawazo sanaa
muache nae afaidi tunda kimasihara
 
Ni mdogo wangu huyo
Ila si mmeachana na jamaa? Kama unaona jamaa ana tabia mbaya atamharibu mdogo wako hapo sawa ongea na mdogo wako umpe taarifa ili hata yakienda vibaya utamwambia nilikwambia mdogo wangu ila kama yuko poa ila unaumia tu sababu ya wivu hapo hauna namna...waache walane tu..
 
Ndugu zangu kama nilivyokuja kipindi kile na malalamiko yule bwana angu jamani baada ya ushauri wa hapa kweli nilijihidi kumuacha yule bwana maana nilichoka pia aisee, japo haikuwa rahisi

Sasa basi baada ya kuachana naye ( ila bado ananitafuta mi ndio namchunia) hivi juzi mdogo wangu amekuja kutoka mkoani ili arudi chuo hapa Dar, basi katika tu kushika simu yake akiwa amenipa niangalie kitu kingine WhatsApp ndio nikaona msg.

Msg kama; Umekula shem? Niambie chochote ntakusaidia tu. Ndio natoka, tukutane pale Sinza (muda ya 5 hivi). Yaani msg tofauti tofauti na inaonesha wanaongea kwa muda mrefu tu.

Jamani Muda hiyo mdogo wangu wanakutana kufanya nini? Imeniuma sana yanii, Naogopa kumuuliza mdogo wangu sijui kama atanielewa yaani.

Basi juzi nikamuuliza mdogo wangu fulani amekutafuta? Mdogo wangu akasema hapana Na hajawahi kabisa. Mhhhh!!!! Nikaogopa kusema chochote

Sasa hapa nawaza Nimwambie msg nilizoona au nami niuchune? Roho inauma. Aisee sitaki hata kuwaza yaani yule baba aje kutembea na mdogo wangu? Kweli? Anawezaje jamani?

Duh Inaniuma sana sana, sitaki hata kuwazia yaani japo napata mawazo sanaa
Sasa mdogo wako mwenyewe afu unashindwa hata kumuhoji??? Unasema hutaki kuamini bas endelea kutoamin tu sasa sisi tutakusaidia vipi badala ya kumuuliza mdogo wako tena ukiwa unamuonesha text hizo akufafanulie vizur wameonana sinza mida hiyo kwa shuguli ipi we unalialia tu hapa... pole lakin
 
Back
Top Bottom