Mpenzi wangu mpya anauza majeneza

Mpenzi wangu mpya anauza majeneza

Mkuu,
Angekuwa anauza 'Nyeti' za bandia ungesemaje?
 
Polee mkuu ila kama unampenda komaa nae.

Sent from iPhone X
 
Yaani mtu unakuta anaogopa jeneza halafu unakuta ndani ana kibubu

Kibubu mbona nalo ni jeneza dogo au kwakua limekosa msalaba?

Sent using unknown device
Chiz kweli we mjamaa [emoji3][emoji3][emoji3], nimecheka sana baada ya kukatazama kakibubu changu
 
Back
Top Bottom