Ukwel mtupu
Member
- Jan 30, 2014
- 40
- 8
Ndugu wana JF mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 na nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana kwa dhati kutoka moyoni kabisa ila shida ni kuwa yeye ni mkubwa kwangu kiumri lakini yeye halijui hilo maana nilimdanganya umri wangu kuwa tuko sawa na had sasa anaamin na mpango tulionao baadae ni kuishi kama mume na mke na kila mmoja analijua hilo, sasa naombeni mawazo yenu kama hiki kitu kinawezekana kweli maana kwa utaratibu unaojulikana ni kuwa mume lazima amzidi umri mke!