Lukunbuko Kimango
New Member
- May 6, 2017
- 3
- 0
Hongera sana kwa kuwa wengi wetu hatujui neno nisamehe na kujishuka fuatilia then expro what is beyond the reality?.
Pole sana kwa hatua hii dhahiri hujahusika na unamoyo kumkopesha mpenzi wako badala ya yy kukupa huyo hakupendi achana nae anatafuta sbb tuJana mpenzi wangu aliniita kuchukua hela niliyomkopesha. Ilikuwa tsh 100,000. Nilikaa kidogo, baada ya kunipa hio hela nikaondoka. Baadae jioni, masaa ma4 hivi akanipikia kuwa ameibiwa hela na anahisi ni mimi. Bahati nzuri ile hela alonipa bado nilikuwa nayo. Nikaenda nikamkuta na rafiki zake.
Waliponiona wakatoka nje kidogo wakaongea alafu yeye akarudi ndani kwake, marafiki zake wakaingia vyumbani kwao. Nikamuuliza nini kinaendelea. Akanambia ameibiwa tsh 80,000. Na anahisi ni mimi. Nikwamwambia sijachukua hela yake, na sijawahi kuiba hela wala kitu cha mtu. Akasisitiza mimi ndo nimeichukua. Nikaona isiwe shida nikachukua tsh 80,000 nikampa akafanya kukataa.
Nikamwekea mezani nikaondoka. Nikabakiwa na tsh 20,000.
Leo asubuhi nimemjulia hali kwa SMS hajajibu.
Kama ni wewe ungefanyeje?
Inauma mwanamke kuumia sbb ya mapenziJana mpenzi wangu aliniita kuchukua hela niliyomkopesha. Ilikuwa tsh 100,000. Nilikaa kidogo, baada ya kunipa hio hela nikaondoka. Baadae jioni, masaa ma4 hivi akanipikia kuwa ameibiwa hela na anahisi ni mimi. Bahati nzuri ile hela alonipa bado nilikuwa nayo. Nikaenda nikamkuta na rafiki zake.
Waliponiona wakatoka nje kidogo wakaongea alafu yeye akarudi ndani kwake, marafiki zake wakaingia vyumbani kwao. Nikamuuliza nini kinaendelea. Akanambia ameibiwa tsh 80,000. Na anahisi ni mimi. Nikwamwambia sijachukua hela yake, na sijawahi kuiba hela wala kitu cha mtu. Akasisitiza mimi ndo nimeichukua. Nikaona isiwe shida nikachukua tsh 80,000 nikampa akafanya kukataa.
Nikamwekea mezani nikaondoka. Nikabakiwa na tsh 20,000.
Leo asubuhi nimemjulia hali kwa SMS hajajibu.
Kama ni wewe ungefanyeje?
Ajue tu huyo msichana hampendiDah kweli mkuu ya angekaa kimya tu, kadhalilishwa na bado anamsalimu ya nini
Kweli kabisa asinge mrudishia kwa sababu deni bado lipo pale pale.Ni kweli hakuwa na nia ya kumlipa ila kafanya mbinu ya kijinga sana kuirudisha hela kwa kumuita mwenzako mwizi
Duh!!yaan kuna watu wakisema ni wanaume unaanza kuutafuta uko wapi huo uanaume.
kwanza anakupigia simu umeniiibia na ww hujaiba unaenda unamlipa?
mie angejifunza kusoma nakuambia
na angejua nane ni sifuri zilizoungana ama ni tatu zilizogeukiana