Hata mimi niljua ni ke kwa alivyojielezaAta mwandiko wako umekaa ki KE mkuu,..
Hata mimi niljua ni ke kwa alivyojielezaAta mwandiko wako umekaa ki KE mkuu,..
I feel pity for you, elewa she is not your mum acha kumpigia simu unajichoresha sana na hata kama akirudiana na wewe atakuona mjinga sana.Kwanza unakubalije kuitwa mwizi halafu the next day unampigia simu???Jana mpenzi wangu aliniita kuchukua hela niliyomkopesha. Ilikuwa tsh 100,000. Nilikaa kidogo, baada ya kunipa hio hela nikaondoka. Baadae jioni, masaa ma4 hivi akanipikia kuwa ameibiwa hela na anahisi ni mimi. Bahati nzuri ile hela alonipa bado nilikuwa nayo. Nikaenda nikamkuta na rafiki zake.
Waliponiona wakatoka nje kidogo wakaongea alafu yeye akarudi ndani kwake, marafiki zake wakaingia vyumbani kwao. Nikamuuliza nini kinaendelea. Akanambia ameibiwa tsh 80,000. Na anahisi ni mimi. Nikwamwambia sijachukua hela yake, na sijawahi kuiba hela wala kitu cha mtu. Akasisitiza mimi ndo nimeichukua. Nikaona isiwe shida nikachukua tsh 80,000 nikampa akafanya kukataa.
Nikamwekea mezani nikaondoka. Nikabakiwa na tsh 20,000.
Leo asubuhi nimemjulia hali kwa SMS hajajibu.
Kama ni wewe ungefanyeje?
Ww ni mpumbavu toka lini mwizi akawa na rafiki yaani uibe harafu salam we vpJana mpenzi wangu aliniita kuchukua hela niliyomkopesha. Ilikuwa tsh 100,000. Nilikaa kidogo, baada ya kunipa hio hela nikaondoka. Baadae jioni, masaa ma4 hivi akanipikia kuwa ameibiwa hela na anahisi ni mimi. Bahati nzuri ile hela alonipa bado nilikuwa nayo. Nikaenda nikamkuta na rafiki zake.
Waliponiona wakatoka nje kidogo wakaongea alafu yeye akarudi ndani kwake, marafiki zake wakaingia vyumbani kwao. Nikamuuliza nini kinaendelea. Akanambia ameibiwa tsh 80,000. Na anahisi ni mimi. Nikwamwambia sijachukua hela yake, na sijawahi kuiba hela wala kitu cha mtu. Akasisitiza mimi ndo nimeichukua. Nikaona isiwe shida nikachukua tsh 80,000 nikampa akafanya kukataa.
Nikamwekea mezani nikaondoka. Nikabakiwa na tsh 20,000.
Leo asubuhi nimemjulia hali kwa SMS hajajibu.
Kama ni wewe ungefanyeje?
Sawa mkuu mara nyingi wapenzi haearudishiani hela walizokopana ila sio kwa alichofanya kutaka kuirudisha hela hiyo kwa kumuita mwenzake mwizi na kafika katoka nje na rafiki zake wakaanza kujadili huo ni utapeli na mtu wa hivyo hafai kabisa ktk mahusiano...... Laana zinaanzia hapohapo, kumuita mtu mwizi kisha alfu 80 hela ambayo hata wiki moja haitafikaKwan mnamazoea yakukopeshana pesa mara kwa mara?? Maana kuna wapenzi wengine mnakopeshana vizur lakin siku yakulipa anakulipa kwakinyongo yaan anahisi kama vile ukupaswa kumkopa bali ulipaswa umpe bila bure sasa yawezekana alipokwambia uende pesa yako alikuwa anajua utamjibu kuwa abaki nayo tu au ungechukua nusu naingine ungemwachia
Ni kweli hakuwa na nia ya kumlipa ila kafanya mbinu ya kijinga sana kuirudisha hela kwa kumuita mwenzako mwiziHuyo hakuwa na nia ya kukulipa hiyo hela. Achana naye fanya mambo mengine.
anawaza alichokifanya mpe muda
Dah kweli mkuu ya angekaa kimya tu, kadhalilishwa na bado anamsalimu ya niniI feel pity for you, elewa she is not your mum acha kumpigia simu unajichoresha sana na hata kama akirudiana na wewe atakuona mjinga sana.Kwanza unakubalije kuitwa mwizi halafu the next day unampigia simu???
Jana mpenzi wangu aliniita kuchukua hela niliyomkopesha. Ilikuwa tsh 100,000. Nilikaa kidogo, baada ya kunipa hio hela nikaondoka. Baadae jioni, masaa ma4 hivi akanipikia kuwa ameibiwa hela na anahisi ni mimi. Bahati nzuri ile hela alonipa bado nilikuwa nayo. Nikaenda nikamkuta na rafiki zake.