Mzee kula maisha mzee najua una umri umeenda na ushagegeda papuchi za kutosha so endelea kula pupuchi pesa si unayo?Mwanzoni mwa miaka ya 2014 hadi 2016 nilibahatika kupata msichana ambaye alikuwa ni new intake katika shule ninayofundisha, baada ya kuona ananifaa nikamuaproach na tukawa naye katika mahusiano, kasheshe ikawa kila nikimwambia tukajitambulishe kwao akawa analeta sababu za hapa na pale, kwakuwa umri wangu kidogo umeenda nikaamua kwenda chuo kujiongeza kidogo baada ya kurudi nimekuta kazaa na jamaa ambaye tuko naye staff moja, nimejaribu kufuatilia uhamisho ili niwaache mana kila nikiwaona najawa na hasira halmashauri naona wananizingua siko sawa na kuna siku nitafanya kitu kibaya halafu nipotee kabisa nishaurini nifanyeje.
Mzee unaonekana hujapitia changamoto nyingi za maisha uache kazi kisa demu acha uone maisha yanavyokubikiri.Basi yeye kashinda mana tayari keshazaa naye shida iko kwangu napata ugumu sana kuishi eneo moja na wabaya wangu na uhamisho nimebaniwa hata wa ndani ya kata nafikiria kufanya jambo baya au niachane kabisa na hiki kibarua mana nachoreka vbaya
Naona unavyojidanganya eti maisha ya mikoani yanashida huko Dar kuna nini cha ajabu? Tuna nyumba hapo Dar mzee wangu kapangisha watu ambao ukiwaona ni wastaarabu sana lakini siku moja nilikutana na mke wa mpangaji wetu wanakula maisha Blue Pearl alafu wamejiachia kama hawana akili nzuri kipindi hicho ilikua 2014. Yule dada alipogundua nimemuona akaamua kufunguka kwamba yule ni mpenzi wake na walikutana NAKUMAT SUPERMARKET wakati demu ameenda kununua simu, Kidume kilimlipia simu na kikampa rift hadi nyumbani na hapo ndio ilikua mwanzo wa mapenzi yao. Nakushangaa sana kuwasema watu wa mikoani alafu unasahau kwamba hao hao wakija Dar wanasumbua vichwa mnaojifanya wa mjini.Kama hujui ni afadhali ukae kimya ndugu wake za watu kila siku wanaenda kujiuza kwenye madanguro Dar kwa tamaa, kukosa matunzo au kipato kidogo cha familia na bado unajiita kijana wa Dar?Daaah maisha ya mikoani yana shida sana, yani hauwezi kwenda benki bila kuonana na mtu ulieonana nae sokoni jana au siku hio hio ukizunguruka tu kidogo tayari unakutana na mtu, kaza roho wewe jamaa wa mkoani huko
Naona umepaniki jamaa, point ya msingi nilioizungumzia ni udogo wa maeneo ya huko mikoani na kadhia ya kukutana mara kwa mara mpaka ambayo imekupelekea kutaka kuhama halmashauri na swala jingine ni kua na uwezo mdogo wa kudili na matatizo ya kimapenzi kwa watu wa mikoani nadhani story ya huyo mtu alienunuliwa simu supermarket kama mhusika mkuu angekua ni wewe hapo nadhani ungeua mtu...Naona unavyojidanganya eti maisha ya mikoani yanashida huko Dar kuna nini cha ajabu? Tuna nyumba hapo Dar mzee wangu kapangisha watu ambao ukiwaona ni wastaarabu sana lakini siku moja nilikutana na mke wa mpangaji wetu wanakula maisha Blue Pearl alafu wamejiachia kama hawana akili nzuri kipindi hicho ilikua 2014. Yule dada alipogundua nimemuona akaamua kufunguka kwamba yule ni mpenzi wake na walikutana NAKUMAT SUPERMARKET wakati demu ameenda kununua simu, Kidume kilimlipia simu na kikampa rift hadi nyumbani na hapo ndio ilikua mwanzo wa mapenzi yao. Nakushangaa sana kuwasema watu wa mikoani alafu unasahau kwamba hao hao wakija Dar wanasumbua vichwa mnaojifanya wa mjini.Kama hujui ni afadhali ukae kimya ndugu wake za watu kila siku wanaenda kujiuza kwenye madanguro Dar kwa tamaa, kukosa matunzo au kipato kidogo cha familia na bado unajiita kijana wa Dar?
Sent from my SM-A700YD using JamiiForums mobile app
Nyuchi yake alafu nimuue ili nifie jela niharibu future yangu? Niliwahi kutendewa ivo na nikaona kwa macho yangu lakini nilichoamua ni kumuacha kimya kimya na nikachukua mwanamke mwingine maisha yakaendelea hadi leo. Mambo ya mihemko ndio hupelekea watu kufanya maamuzi ya kuua lakini ukiihimili hasira yako unafanya maamuzi ya busaraNaona umepaniki jamaa, point ya msingi nilioizungumzia ni udogo wa maeneo ya huko mikoani na kadhia ya kukutana mara kwa mara mpaka ambayo imekupelekea kutaka kuhama halmashauri na swala jingine ni kua na uwezo mdogo wa kudili na matatizo ya kimapenzi kwa watu wa mikoani nadhani story ya huyo mtu alienunuliwa simu supermarket kama mhusika mkuu angekua ni wewe hapo nadhani ungeua mtu...
Mkuu kama hiyo avatar ni wewe ,basi ana kila sababu ya kukataa kukutambulisha kwao mana unatisha aseeeh. Punguza japo masharubu kidogo[emoji4]Mwanzoni mwa miaka ya 2014 hadi 2016 nilibahatika kupata msichana ambaye alikuwa ni new intake katika shule ninayofundisha, baada ya kuona ananifaa nikamuaproach na tukawa naye katika mahusiano, kasheshe ikawa kila nikimwambia tukajitambulishe kwao akawa analeta sababu za hapa na pale, kwakuwa umri wangu kidogo umeenda nikaamua kwenda chuo kujiongeza kidogo baada ya kurudi nimekuta kazaa na jamaa ambaye tuko naye staff moja, nimejaribu kufuatilia uhamisho ili niwaache mana kila nikiwaona najawa na hasira halmashauri naona wananizingua siko sawa na kuna siku nitafanya kitu kibaya halafu nipotee kabisa nishaurini nifanyeje.
Hahahahahaha usifanye mchezo na kuvurugwa na haya mamboInakuwaje Mwl. Hufahamu hata kuandika kwa aya?
Poyeeeeeeeh niweke mm[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hakuwa mke ila nilidhamilia kumuweka ndani