Black hermit
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 657
- 955
- Thread starter
- #21
Heri yako wewe wa Dar mkuuWanaume wa mikoani bwana
Heri yako wewe wa Dar mkuuWanaume wa mikoani bwana
Nilisoma makala ya jamaa anaitwa Amos anasema mchumba wako akikukimbia na kwenda kwa mwanaume mwingine usimlaumu kwa kujifikiria wewe na upweke wako bali mfikirie pia yeye na ndoto zake jambo la maana siyo kukasirika bali ni kufanya kazi kwa bidii na kutafuta pesa ili ukipata mwingine asikukimbie tena.
Tayari mawazo haya nimeanza kuyafanyia kazi mambo si haba sana tofauti na kazi tunamiliki bodaboda tatu ambazo kwa siku zinatuletea elfu30
leo hutaki kupenda chura chief?Heri nijifunze kuwa na upendo maana upendo hushinda yote!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo hutaki kupenda chura chief?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaaaaaa dah haya banaNa wewe tafuta chance umzalishe ndo atakapotia akili,au tafuta ndugu yake wa karibu mpe vitu...kumbuka huu MCHEZO HAUHITAJI HASIRA
Poa .... Sasa nn unajua wacha nikushaur kitu alafu Ako kademu kajinga kaumie bila kukagusa.
[emoji117]BADILI THAMAN YAKO ILI AKUONE MPYA.
----Kua Smart +Nukia vzuri .
-----Kua mcheshiii yaaan kua mcheshi kuliko wakat zote.
-------Hakikisha Mitandao ya Kijamii hupost habar za maumiv ya mapenzi..POST MAMBO YA FURAHA FURAHAAA TUUU +MAMBO YAKO YA KAZI BASI.
------ Usikablok hata kidogo.
------ UKIPIGA STORY NA WANA WAKIKE AU KIUME PIGA STORY ZA KUHUSU KUOA , UKU UKIJISIFIA """"Nataka nikishaoa nimfanye wife ajihisi Malaika"""".
Tuanze nahayo...
JE UNATAKA ALOMZALISHA NAYE ASIWE NA AMANI , AUMIE KILA ATAKAPOKUONA????????.
Upendo wa churaHeri nijifunze kuwa na upendo maana upendo hushinda yote!
[emoji125][emoji125][emoji125]Upendo wa chura
Mawazo mazuri nitayafanyia kaziBrother usisthubutu kufanya unachoplan sababu ya mwanamke:
Best wishes on your new direction
- Kwanza hujui sababu ambayo Mungu amekataa usiishi naye, yaweza kuna makubwa ambayo amekuepusha
- Wanawake wapo wengi sana, tena wazuri sana, na wanaendelea kuzaliwa kila kukicha, utampata wa kufanana na wewe, ni swala la muda tu
- Unachokifikiria yaweza kukuletea matatizo makubwa sana, ikaenda mbali zaidi kwa ndugu zako na jamaa zako, S STOP it NOW
- Unatakiwa kubadili fikra na mitazamo kuhusu wanawake, ndo maana hata Bible inasema mwishi nao kwa akili sana
Nilikuwa narudi na napiga mzigo kawaida tu sema mwishoni ndo mambo yakaanza kubadilika ila niliona siyo kesi ngoja nimalize kwanza ndo nikirudi nijue tatizo liko wapi nilikaa miezi kadhaa bila kurudi kazini kabla ya kumaliza mana nilikuwa najiandaa na mitihani baada ya kurudi ndo nakuta mwanadada ana mimba ya jamaaInafikirisha.. Ina maana ukiwa chuo hukuwah kupata taarfa zake? Mlikuwa hamuonan mpka usijue kinacho endelea?
Kwanini mwalimu unajihusisha kimapenzi na wanafunzi wako? Ndo mana watoto wanafeli kumbe mnawarubudi kuwaoa.Mwanzoni mwa miaka ya 2014 hadi 2016 nilibahatika kupata msichana ambaye alikuwa ni new intake katika shule ninayofundisha, baada ya kuona ananifaa nikamuaproach na tukawa naye katika mahusiano, kasheshe ikawa kila nikimwambia tukajitambulishe kwao akawa analeta sababu za hapa na pale, kwakuwa umri wangu kidogo umeenda nikaamua kwenda chuo kujiongeza kidogo baada ya kurudi nimekuta kazaa na jamaa ambaye tuko naye staff moja, nimejaribu kufuatilia uhamisho ili niwaache mana kila nikiwaona najawa na hasira halmashauri naona wananizingua siko sawa na kuna siku nitafanya kitu kibaya halafu nipotee kabisa nishaurini nifanyeje.
na akijaa kwenye 18 zako galagaza vibaya sana uchu wote ukutoke,vumbi la congo lisikae mbali akitoka hapo aseme kuna waka motoHahahahaaaaaa dah haya bana
Naona mkuu hujaelewa post hebu irudie tena kuisomaKwanini mwalimu unajihusisha kimapenzi na wanafunzi wako? Ndo mana watoto wanafeli kumbe mnawarubudi kuwaoa.