Juzi nime amaka asubuhi, nikafungu facebook, kitu cha kwanza kuona ni mpenzi wangu amecomment kwenye post yake kwamba ana belong kwa mdada fulani ,jina akaweka sio jina langu, baada ya kama nusu saa akaupdate status yake kuwa he is in a relation ship, baada ya dakika mbili akaweka picha ya mdada alomtaja awali, watu wamecomment sana wakimpa hongera na kumsifia mdada ni wa ukweli, ki ukweli dada ni mzuri sana, sikumuuliza kitu nikaaamua kukaa kimya tu, na conclude kwamba nimeachwa and nipo single tena niliumia sana.
Jana nikashangaa message inaingia kutoka kwake eti,"mpz wang hujambo, nimekukumbuka sana, unakuja lini" Nimeshindwa kumuelewa kabisa, ni kwamba ile picha ameweka ya kazi gani na aliposema anabelong kwa huyo dada alimmanisha nini,ananirusha roho ama? sielewi elewi vipi nimuulize au niendelee kukaa kimya na conclusion yangu.
Huyu mpenzi wangu tumekuwa hatuna mawasiliano mazuri kwa kipindi kama cha miezi minne hivi, tunaishi mikoa tofauti,yaani mnaweza mkawa mnawasaliana vizuri kama week then akaamua kukaa kimya tu, basi utapiga simu,hapokei sijui message hajibu, ikiwa hivyo na mimi huwa nakaa kimya tu.
Mwezi wa kumi na moja alifiwa na mdogo wake, nikahisi labda he needs space ya kuomboleza, i gave him space akikaa kimya na mie natulia mpaka awe kwenye mood ya kuongea ndo tunaongea, baada ya muda anarudi tena kwa kunisingizia eti nimemtenga, tunaongea yanaisha , then baada ya muda unaona anakupa silent treatment tena.